Ushauri kwa celebrities wa kike bongo

Ushauri kwa celebrities wa kike bongo

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
762
Reaction score
1,688
bongo huenda ikawa ya pili afrika baada ya nigeria kwa kuwa na talented celebrities.wapo wengi sana na wengi wao wapo talented.
tatizo kubwa walilonalo ni kufall rondomly in love kwa celebrities wa kiume bila kuwa na deep follow up kwa hao wauza sura wa kiume.
matokeo yake wakishawatumia wanaanza kuwapaka matope ooh bongo mademu michosho..
baadae hutangaza ndoa nje ya bongo kama vile bongo haina mabinti watulivu.
ifike pahala dada zangu muwafungie vioo hao celebrities wa kiume wa bongo..hawajielewi
 
Ngoma droo wao si wanaliwa na vibabu vya kizungu na watu wazima (waume za watu)
 
Tatizo kukosekana kwa elimu na exposure
 
We hujui akili za wanawake, naamini hata Mungu ameshawaacha wafanye wanavyoona ni sawa machoni mwao. Kama wanatembea uchi hilo unalowashauri lina impact gani kwenye njaa zao?
 
bongo huenda ikawa ya pili afrika baada ya nigeria kwa kuwa na talented celebrities.wapo wengi sana na wengi wao wapo talented.
tatizo kubwa walilonalo ni kufall rondomly in love kwa celebrities wa kiume bila kuwa na deep follow up kwa hao wauza sura wa kiume.
matokeo yake wakishawatumia wanaanza kuwapaka matope ooh bongo mademu michosho..
baadae hutangaza ndoa nje ya bongo kama vile bongo haina mabinti watulivu.
ifike pahala dada zangu muwafungie vioo hao celebrities wa kiume wa bongo..hawajielewi
Bongo au
 
Back
Top Bottom