Ushauri kwa CHADEMA anzisheni Trust Fund

Team Mbowe haya mambo hayawahusu. Muda wenu ulishakwisha mbona bado mnayufata fata?
 
Muooongooo
 
Ukitaka vichekesho kama hivi, fuatilia mada za mtoa mada.

Bilioni 10 sio kama mdomo, kila mtu anayo

Diaspora wenyewe wanatuma zaidi ya $1B kwa mwaka.

Hiyo ni sawa na $4M
 
University ya Warwick acceptance rate yake hata kilaza wa St John anasoma..
Wewe si uende sasa kwani umekatazwa, watu wamefaulu mpaka akasoma kwa scholarship utajilinganisha na wewe. No wonder kesi zetu zote huko International arbitrations tumeangukia pua!!
Law chamber unashindwa kununua gari unaitisha mchango nchi nzima...? embu nipishe bwana
Kumbe hujui siasa ni kutafuta public appeal na sympathy votes!! Unadhani Trump kuchangisha fedha za kampeni alikua hana? Its branding kuwa ni "mwenzao" na huna "hela za kifisadi"!! Otherwise mjengo wake umeuona ule? sidhani unaweza kujenga wewe.
 
Wewe hunijui bhana...

Ule ni mjengo😂

Embu usijichoshe hapa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…