Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

Thus far, 39 individuals have been indicted in the ICC, including Ugandan rebel leader Joseph Kony, Sudanese president Omar al-Bashir, Kenyan president Uhuru Kenyatta, Libyan leader Muammar Gaddafi, and Ivorian president Laurent Gbagbo.
 
Onyo la Jana linawatosha ila mwenye kuzalau mwiba mguu wake ukimharibikia ni shaur yake mwenyew.hata vitabu vya dini vimenena kabisa zieshimuni mamulaka za dunia sasa kama chadema wao siasa zao ni kupimana na dola haya sasa kazi kwenu nahis sasa mmempata wa saizi yenu.maana mnajifanya wajuaji sana

Kuzalau=kudharau
Zieshimuni=ziheshimuni
Mamulaka=mamlaka

Jifunze kiswahili fasaha alafu urudi tena, na usiombe BAKITA wakaona post yako.
 
Jana nilikuwa naangalia mahojiano na watu waliokuwepo wakati wananchi wa South Africa walupopambana na polisi wakidai haki za kuishi wakiwa huru na kwa usawa. Mama mmoja aliyelemazwa na risasi alisema " tumesamehe hatuwezi kusahau" Wote wanafurahi waking S.A ya leo ingawa changamoto hazizaisha.
 
Kwahiyo unatushauri tuwe kama Bunge Butu na Mahakama Kibogoyo ili ajiskie always Right.

Huyo Mungu uliemuomba ambariki huyo mvunja katiba ungeanza kwa herufi ndogo jina lake isomeke 'mungu' na sio "Mungu"

Tena tuliosema atakua one term president tulikosea hata term moja hatamaliza kama tutashikilia msimamo wetu Septemba mosi na tunaweza kuigeuza ajenda ikawa ya kumng'oa ikulu.

He should be careful of what he wish for!
Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Lile vuguvugu tu la kwenda kusaidia polisi kuzuia mkutano wa ccm iliwashinda baada ya kupigwa mkwara mdogo vile. Hili la kukabiliana na dola mtaliweza wapi. Kumg'oa Rais Ikulu sio sawa na kupiga mswaki mkuu.
 
Pasco, kuna tatizo kubwa la kimantiki katika post yako. Ili kuona jinsi hoja yako isivyokidhi matakwa ya tafakuri ya kimantiki (logical reasoning), ione jinsi ilivyo katika mizania (syllogistic form): (1) Kitiba inaruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano kwa uhuru; (2) Rais Magufuli amepiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa; na (3) Chadema wakae kimya! Kutokana na ulivyojenga hoja yako, hitimisho tu ambalo lingeifanya iwe na mantiki ni hili: "Magufuli amevunja katiba hivyo mamlaka husika (bunge) inapaswa kumchukulia hatua". Kwa upande mwingine, kama Chadema watafanya mikutano na madhara yakatokea, kwa kuzingatia kanuni ya causality (uhusiano wa kisababishi na matokeo), mkosaji (culprit) ni yule aliyekiuka matakwa ya katiba na siyo waliotetea na kulinda haki yao ya kikatiba. Kiuhalisia, umewashauri Chadema wawe wanafiki na wasiozingatia kanuni za kimaadili (unprincipled). "It is better to die with honour than to live with shame".
 
Pasco ushauri wako ni Wa kumlinda Nani ? Nchi ya Tanzania inaongozwa kwa mujibu Wa katiba je ushauri wako unailinda katiba ya jamuhuri ya muungano Wa Tanzania. Kwa nini usiishauri serikali na viongozi wake waliilinde kàtiba kama walivyo hapa viapo vya uongozi wao wananchi wasipoikemea serikali unataka Nani aseme ?
 
Wananchi hawajaribiwi Mteule kadekezwa tangu ameingia madarakani watu wanamchkea kama msemo usemavya ukimchekea nyani utavuna mabuwa this has to stop yeye anapita Tanzania nzima anatukana watu anagawa wananchi anaisnitigate chuki anavunja utaifa aangaliwe tu jambo moja alijuwe hayuko juu ya sheria
 
Kwahiyo unatushauri tuwe kama Bunge Butu na Mahakama Kibogoyo ili ajiskie always Right.

Huyo Mungu uliemuomba ambariki huyo mvunja katiba ungeanza kwa herufi ndogo jina lake isomeke 'mungu' na sio "Mungu"

Tena tuliosema atakua one term president tulikosea hata term moja hatamaliza kama tutashikilia msimamo wetu Septemba mosi na tunaweza kuigeuza ajenda ikawa ya kumng'oa ikulu.

He should be careful of what he wish for!
Ben, chadema ilishauzwa kwa fisadi mkuu, hata bila Rais kuwa mkali, hakuna mtanzania mkamilifu a ayewaelewa kwa tabia yenu ya kutetea wezi, mafisadi, na wakwepa kodi. Mwambie Mbowe arudishe gia riverse!!!
 
mwananchi.co.tz
MAONI YA MHARIRI: Jaji Mutungi simamia pia kanuni za haki,
Kwa ufupi

Mikakati hiyo ya Chadema, licha ya kuwaibua CCM ambao ni mahasimu wao wa kisiasa, pia imemuibua Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi aliyejitoa taarifa akisema tamko la Chadema limejaa lugha za uchochezi, kashfa na kuhamasisha uvunjifu wa amani.
Advertisement

Kumeibuka sintofahamu ya kisiasa baada ya chama cha Chadema kutangaza mikakati mitatu ya kupinga suala inaloliona kuwa ni ukandamizaji wa haki na demokrasia, ikiwa ndani ya operesheni iliyopewa jina la Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania (Ukuta) na kufanya maandamano na mikutano nchi nzima kuanzia Septemba Mosi.

Mikakati hiyo ya Chadema, licha ya kuwaibua CCM ambao ni mahasimu wao wa kisiasa, pia imemuibua Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi aliyejitoa taarifa akisema tamko la Chadema limejaa lugha za uchochezi, kashfa na kuhamasisha uvunjifu wa amani.

Jaji Mutungi alinukuu vipengele kadhaa vya Sheria ya Vyama vya Siasa, Sura ya 258 kwenye kanuni na maadili ya vyama vya siasa za mwaka 2007.

Ni jambo jema kwamba Jaji Mutungi amefanya jitihada za kuvikumbusha vyama vya siasa umuhimu wa kufuata sheria na kanuni.

Tunakubaliana naye kwa kuwa alirejea Sehemu ya Tatu ya sheria hiyo inayozungumzia wajibu wa chama cha siasa wa kutunza maadili kwa kunukuu kanuni ya 5 (1) (d) inayovikataza vyama kutoa maneno ya uongo au maandishi ya uongo kuhusu mtu yeyote au chama chochote cha siasa.

Tunaamini kuwa kwa dhamira hiyohiyo Jaji Mutungi ataendelea kufanya hivyo kwa kugisa maeneo mengine mengi ya sheria hiyo. Mfano kanuni ya “c” inazuia matumizi ya vyombo vya dola kukandamiza na kutoa vitisho kwa chama chochote cha siasa.

Pia, kanuni “e” inaruhusu kufanya mkutano wa kisiasa na maandamano bila kufanya vurugu kwa mujibu wa sheria za nchi. Pia kifungu “f” kinavitaka vyama vya siasa kulaani na kupinga vitendo vyenye kuashiria ukandamizaji, matumizi ya lugha ya matusi, vitendo vya kibabe na vurugu, matumizi ya nguvu ili kujipatia umaarufu wa chama au sababu yoyote ile.

Pia kifungu “i” kinavitaka vyama vya siasa kuepuka kutumia mamlaka, rasilimali za Serikali, vyombo vya dola au wadhifa wa kiserikali, kisiasa au ufadhili wa nje ama wa ndani kwa namna yoyote ile ili kukandamiza chama kingine.

Tunatumaini kuwa weledi aliouonyesha Jaji Mutungi, ambaye pia ni katibu wa Baraza la Vyama vya Siasa, atauendeleza katika kusimamia haki za vyama vya siasa kama ilivyoelezwa Sehemu ya Pili ya kanuni ya 4(1) (b) kwamba chama kina haki ya kutoa maoni ya kisiasa kadri kitakavyoona inafaa ili kutekeleza sera zake kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katiba ya Zanzibar.

Hatuna shaka kwamba Jaji Mutungi atasimamia kanuni “c” ya haki ya chama ili vipate fursa ya kujadili na kushindanisha sera zake na zile za chama kingine cha siasa kwa lengo la kutaka kukubalika kwa wananchi.

Kwa weledi ule ule tunaamini atahakikisha kanuni ya “d” ya haki ya chama inatoa fursa kama ilivyotamkwa kwamba viwe na uhuru wa kutafuta wanachama na kama ni wakati wa kampeni, basi kuwe na uhuru wa kutafuta kuungwa mkono na wapiga kura. Pia, tuna hakika atasimamia kanuni “e” inayotoa fursa kwa kila chama cha siasa kuwa na haki ya kufanya mikutano ya kisiasa na maandamano kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa.

Ni vizuri Jaji Mutungi akasimamia sheria hiyo ya vyama vya siasa inayovipa haki za kufanya mikutano ya hadhara, kuandamana, kutafuta wanachama na kukemea jambo vinaloona ni la ukandamizaji ili kuondoa matatizo yanayoonekana kunyatia amani yetu.
Mkuu Ben kiukweli mimi huwa nina wa admire watu mashujaa kama wewe wenye nia thabiti mioyoni mwao, kauli thabiti midomoni, mwao kama hizi kauli zako humu za one term lakini reality ni nyingine kabisa! .

Hili la one term hamalizi nililisikia kwa yule yule mhubiri ili tuu kuendelea kumdanganya 'jamaa yetu' kuwa ni yeye ndiye aliyeandikiwa, kiukweli hakuna kitu kama hicho na kwa kasi ya udikiteta ninavyoiona hata hiyo 2020 sijui kama tutahitaji uchaguzi wa rais na sisi wananchi tunaolitakia mema taifa hili tutaandamana nchi nzima ili kile kipengele cha ukomo wa two terms kiondolewe Magufuli aendelee tuu kama Nyerere mpaka achoke mwenyewe! .

Nimemuombea kwa Mungu na sio kwa mungu kwa sababu ni Mungu ndie aliyesema tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari na tumpe Mungu yaliyo ya Mungu.

Tembelea ule uzi wangu wa rais wa Tanzania ni yule tuu aliyepangwa na Mungu, maadam ni Magufuli, then ndiye aliyepangwa na Mungu, tuendelee kumuombea

Pasco
 
Kwahiyo unatushauri tuwe kama Bunge Butu na Mahakama Kibogoyo ili ajiskie always Right.

Huyo Mungu uliemuomba ambariki huyo mvunja katiba ungeanza kwa herufi ndogo jina lake isomeke 'mungu' na sio "Mungu"

Tena tuliosema atakua one term president tulikosea hata term moja hatamaliza kama tutashikilia msimamo wetu Septemba mosi na tunaweza kuigeuza ajenda ikawa ya kumng'oa ikulu.

He should be careful of what he wish for!
Ndoto za mchana. Mwacheni Magufuli aibadilishe Tanzania na Watanzania. Watanzania tulitaka mabadiliko. Njia ya Magufuli ndio njia. Mabadiliko hayaji bila maumivu. Msijidanganye.
 
Naisikitikia serikali kwa kujiingiza katika confrontation zisizo za lazima, kwa sababu katiba na sheria za nchi zinaruhusu mikutano ya kisiasa ya chama chochote chenye usajili nchini kufanya mikutano ktk mikoa yote ya nchi!. Hili liko wazi na wala siyo hisani ya mtu yoyote kuguarantee haki hii

Sheria haijasema walioshinda peke yake ndo wafanye mikutano katika majimbo yao.

Kwa jinsi ninavyoona, iwapo Watu wataandamana na ikatokea nguvu kutumika hadi kupoteza maisha ya wananchi, basi kuna hatari watu kupelekwa katika vyombo vya kimataifa kama the Hague kujibu mashtaka, kwa maana wananchi hao wanadai kilicho haki kwa mujibu wa sheria za vyama vya siasa kuhusu haki ya kufanya mikutano!
Kwa nini uandamane ili upigwe? Rais kasema ni wakati wa KAZI TU. Ombeni resources za kufanya kazi badala ya kuandamana.
 
Kwahiyo unatushauri tuwe kama Bunge Butu na Mahakama Kibogoyo ili ajiskie always Right.

Huyo Mungu uliemuomba ambariki huyo mvunja katiba ungeanza kwa herufi ndogo jina lake isomeke 'mungu' na sio "Mungu"

Tena tuliosema atakua one term president tulikosea hata term moja hatamaliza kama tutashikilia msimamo wetu Septemba mosi na tunaweza kuigeuza ajenda ikawa ya kumng'oa ikulu.

He should be careful of what he wish for!
Ben,

Acha kujidanganya na hizo drama zenu hii post yako ingekuwa nchi kama Zimbabwe au Turkey, Russia, sasa hivi ungekuwa kwenye chumba cha mateso uwa fahamishe kuhusu hii kauli yako nzuri upo Tanzania.
 
Bado hawajawai kuonja moto wa jiwe

Watu wanao kuita dikteta ikiwa wewe siyo dikteta
Nibora uwape moto wa udikteta
Ili liwe findisho .

HAWA JK KAWALEA SANA

WALI MTUKANA SANA
WALI MZONGA SANA
WACHA WAKIONE.

"Nataka hao wanaotetea maandamano watangulie wao halafu wataona cha mtemakuni’"
chap...we are not that cowardice

we only die once
 
Kuna watu humu wamebaki yatima wa kisiasa, Rais ni mkristo tena mkatoliki basi hawajui hata wafanyeje maana walijifanyaga ni mashabiki wa ccm kwa sababu kulikuwa na Rais ndugu yao katika imaani sasa Mkatoliki yupo kwenye ufalme wamebaki yatima wa kisiasa maana chuki yao ilikuwa kwa padre Slaa, sasa tumeweka mfuasi wa Vatican kabisa ikulu.
 
Ben,

Acha kujidanganya na hizo drama zenu hii post yako ingekuwa nchi kama Zimbabwe au Turkey, Russia, sasa hivi ungekuwa kwenye chumba cha mateso uwa fahamishe kuhusu hii kauli yako nzuri upo Tanzania.
na wewe kumbe dictator unayepongeza madictaor wanaotesa wananchi wenye mawazo mbadala?
 
Ben, chadema ilishauzwa kwa fisadi mkuu, hata bila Rais kuwa mkali, hakuna mtanzania mkamilifu a ayewaelewa kwa tabia yenu ya kutetea wezi, mafisadi, na wakwepa kodi. Mwambie Mbowe arudishe gia riverse!!!
Comment za hovyo hivi huwa sizisomi ila hii nimejikuta bahati mbaya nimeisoma.. Tutawomba shule ya msingi mabatini darasa la tatu C wakuchangie japo akii kidogo
 
MWANZONI CDM WALISEMA JK ANATAKA KUVUNJA KATIBA KWA KUTAKA KUEXTEND MUDA WA KUKAA MADARAKAN HAWATAKUBALI NA JK AKAWAAMBIA MIMI SIHITAJ KUONGEZA HATA SEKUNDE LEO HII NAONA WANATAMAN NI BORA ANKO JK ANGEVUNJA TU KATIBA KULIKO MZEE WA SASA ANAVYOKAZA NATI
 
Lile katazo lake la watumishi wa umma hawaruhusiwi kusafiri safari za nje bila kibali chake kupitia kwa Katibu Mkuu Kiongozi, liliwahusu watumishi wote wa serikali, likiwemo bunge na mahakama!, just imagine Jaji Mkuu na Spika wa bunge wakapige magoti kwa rais kuomba kutimiza wajibu wao!
Pasco usipotoshe. Kinachoitwa separation of powers ni katika sub-system ya utawala - ndani (siyo nje) ya Bunge na Mahakama. Rais wa nchi ndiye Mkuu wa nchi na Serikali. Serikali ndiyo yenye mamlaka ya kuanzisha, kuratibu na kusimamia utekelezaji wa sera na sheria zote za nchi. Mahaakama na Bunge hukutana na Serikali (executive) katika eneo moja dogo katika kuendesha serikali - sheria (administration of justice). Bunge hutunga sheria wakati Mahakama hutafsiri sheria ili kutoa haki, basi. Si Mahakama wala Bunge mwenye mamlaka ya kutunga na tutekelea sera zake kwa namna watakavyo. Kwa hiyo uamuzi wa Serikali/JPM kudhibiti fiscal extravagance ulitakiwa kutekelezwa na Bunge na Mahakama bila kusita. It was a genuine, rightful, timely and constitutionally mandated supreme order.
 
Back
Top Bottom