sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
pascally umerogwa na nani?sheria inawataka wawe na vibari au wanatakiwa kutoa taarifa?Ushauri mwingine huu kwa Chadema, ilikuwa waanze mikutano bila vibali Corona ikaokoa jahazi
Mkuu Wakili Msomi, Petro Mselewa, Naunga mkono hoja, ushauri huu ni mzuri sana kwa Chadema kufuata sheria bila shuruti.
Chadema kama mna masikio, sikieni.
P
Sent using Jamii Forums mobile app