hahahaEti umesema!!
Mhh Ya kwel hayo[emoji33] [emoji33]Yes kwangu raha sana,kupanic kwa maneno inafurahisha halafu inanoga zaidi akaja kujibu mtu mbishi mbish kwangu rahaa
Hana upompopo wowote sema wabongo tumezidi. Majanga yapo kibaoooooo na yana tija hayaongelewi ila likitokea moja inakua tafrani. Wengine hatupo daslam bashite atuhusu. Endeleeni naye sie mondi kaimba wimbo mtaaaamu kanikumbusha mambo ya Fasihi Andishi na Fasihi Simulizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
daaah!! skujua kama umeguswa hivi!!
ila jamaa ni pompompo tuwe wakweli
hahahahaWewe ata usipomsililiza hamna atakachopungukiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena nikutumie playlist yangu ya saiv. Hlf acha kumfanansha mondi na vitu vya kijinga
Wamefanyiwa nini? Uliona? Unaushahidi? Unajua walicho fanyiwa?Kw
Walichofanyiwa clouds FM yeye alifurahi
Acha upuuzi weweHana upompopo wowote sema wabongo tumezidi. Majanga yapo kibaoooooo na yana tija hayaongelewi ila likitokea moja inakua tafrani. Wengine hatupo daslam bashite atuhusu. Endeleeni naye sie mondi kaimba wimbo mtaaaamu kanikumbusha mambo ya Fasihi Andishi na Fasihi Simulizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atajua mwenyewe uyo gwajima na siku isiyo na jina anayelitumia jina lake kupotosha watu atamrudia.Utausikia kesho wakati Baba Askofu Gwajima akiongea na familia ya Ufufuo na Uzima wakati Almasi itakapogeuka Maji.
Wewe wimbo hujausikilza. Unafatisha comments za watu tu [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]hahahaha
ntumue bas play list
kwa hiyo wewe unaona ako sawa tu!?
Ungejaribu hata kujipa muda kidogo ukapitia post zangu kumuhusu Diamond humu jukwaani wala usingekurupuka na kuniita sijui team nani!!Timubkiba mmepata pa kuhemea, mond bado anakaza nati mpaka ikatike.
sawaHana upompopo wowote sema wabongo tumezidi. Majanga yapo kibaoooooo na yana tija hayaongelewi ila likitokea moja inakua tafrani. Wengine hatupo daslam bashite atuhusu. Endeleeni naye sie mondi kaimba wimbo mtaaaamu kanikumbusha mambo ya Fasihi Andishi na Fasihi Simulizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natafuta ni jinsi gani nisoone comment zako...mpuuzi sana weweAtajua mwenyewe uyo gwajima na siku isiyo na jina anayelitumia jina lake kupotosha watu atamrudia.
Tangu ameanza kusemwa uyo mondi kuna mnofu wowote mwilini mwake umedondoka?? Yote ni marudio tu.
Mpuuzi mwenyewe.Acha upuuzi wewe
Narudi pale pale. Konda au dereva anawahusu wa daslam endeleeni kutaka vyeti vyake. Sie aa mkoani wacha tuendelee kumsikiliza mondi bin laden na jiwe lake kali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sawa
wewe mtetee mwenzio keshi ntakuwa kwa baba Askofu Gwajima tuki igeuza Almasi kuwa maji [emoji28]
kazid sana naye kutumiwa ana Makonda ki ukweli inaboa
Mpuuzi ni wewe mwenyewe.Natafuta ni jinsi gani nisoone comment zako...mpuuzi sana wewe
hahahahaWewe wimbo hujausikilza. Unafatisha comments za watu tu [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
asa wewe kila mnaye pishana mawazo utamwitaje mpuuzi!!?Acha upuuzi wewe
hahahaNarudi pale pale. Konda au dereva anawahusu wa daslam endeleeni kutaka vyeti vyake. Sie aa mkoani wacha tuendelee kumsikiliza mondi bin laden na jiwe lake kali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nenda huko sasa ngoja gharika lianzie apo kanisani kwa uyo askofu hewa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]