Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

Vyeti lazima kama baba J hataki afute Udsm wale maprof na ma Dr wakachimbe mitaro. Watu wameumia sana sasa double standard za nn.. Tatizo ni ukanda na ukolomije. Zaidi tujilaumu as wa Tz kwa kumpa nafasi. Japo form alibeba mwenyewe na kura akapiga na Bashite.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
daaah!! skujua kama umeguswa hivi!!

ila jamaa ni pompompo tuwe wakweli
Hana upompopo wowote sema wabongo tumezidi. Majanga yapo kibaoooooo na yana tija hayaongelewi ila likitokea moja inakua tafrani. Wengine hatupo daslam bashite atuhusu. Endeleeni naye sie mondi kaimba wimbo mtaaaamu kanikumbusha mambo ya Fasihi Andishi na Fasihi Simulizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ata usipomsililiza hamna atakachopungukiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena nikutumie playlist yangu ya saiv. Hlf acha kumfanansha mondi na vitu vya kijinga
hahahaha
ntumue bas play list

kwa hiyo wewe unaona ako sawa tu!?
 
Kwa taharifa zaid ilipigwa asubui na mida ya SAA tano na mida ya SAA saba na jion hii imepigwa tena clous TV,sasa kwa taharifa yake kama alikuwa hajui na usiku huu inapigwa kesho pia asubui inapigwa Ngoma tamu sana,
 
Hana upompopo wowote sema wabongo tumezidi. Majanga yapo kibaoooooo na yana tija hayaongelewi ila likitokea moja inakua tafrani. Wengine hatupo daslam bashite atuhusu. Endeleeni naye sie mondi kaimba wimbo mtaaaamu kanikumbusha mambo ya Fasihi Andishi na Fasihi Simulizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha upuuzi wewe
 
Utausikia kesho wakati Baba Askofu Gwajima akiongea na familia ya Ufufuo na Uzima wakati Almasi itakapogeuka Maji.
Atajua mwenyewe uyo gwajima na siku isiyo na jina anayelitumia jina lake kupotosha watu atamrudia.
Tangu ameanza kusemwa uyo mondi kuna mnofu wowote mwilini mwake umedondoka?? Yote ni marudio tu.
 
Timubkiba mmepata pa kuhemea, mond bado anakaza nati mpaka ikatike.
Ungejaribu hata kujipa muda kidogo ukapitia post zangu kumuhusu Diamond humu jukwaani wala usingekurupuka na kuniita sijui team nani!!

Punguani wahedi!
 
Hana upompopo wowote sema wabongo tumezidi. Majanga yapo kibaoooooo na yana tija hayaongelewi ila likitokea moja inakua tafrani. Wengine hatupo daslam bashite atuhusu. Endeleeni naye sie mondi kaimba wimbo mtaaaamu kanikumbusha mambo ya Fasihi Andishi na Fasihi Simulizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sawa
wewe mtetee mwenzio keshi ntakuwa kwa baba Askofu Gwajima tuki igeuza Almasi kuwa maji [emoji28]
kazid sana naye kutumiwa ana Makonda ki ukweli inaboa
 
Atajua mwenyewe uyo gwajima na siku isiyo na jina anayelitumia jina lake kupotosha watu atamrudia.
Tangu ameanza kusemwa uyo mondi kuna mnofu wowote mwilini mwake umedondoka?? Yote ni marudio tu.
Natafuta ni jinsi gani nisoone comment zako...mpuuzi sana wewe
 
sawa
wewe mtetee mwenzio keshi ntakuwa kwa baba Askofu Gwajima tuki igeuza Almasi kuwa maji [emoji28]
kazid sana naye kutumiwa ana Makonda ki ukweli inaboa
Narudi pale pale. Konda au dereva anawahusu wa daslam endeleeni kutaka vyeti vyake. Sie aa mkoani wacha tuendelee kumsikiliza mondi bin laden na jiwe lake kali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nenda huko sasa ngoja gharika lianzie apo kanisani kwa uyo askofu hewa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yule aliekupandisha ndiye atakae kushusha, ufagio ukiwa mpya hufagia sebule ila ukiisha hufagia chooni,
Jipange diamond haya ni maisha tu
 
Wewe wimbo hujausikilza. Unafatisha comments za watu tu [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
hahahaha
halafu nirushie bas wimbo huo ni uskie [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

ila kakera sana
 
Narudi pale pale. Konda au dereva anawahusu wa daslam endeleeni kutaka vyeti vyake. Sie aa mkoani wacha tuendelee kumsikiliza mondi bin laden na jiwe lake kali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nenda huko sasa ngoja gharika lianzie apo kanisani kwa uyo askofu hewa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaha
utahama hadi mkoa kisa kumtetea Almasi na Bashite [emoji2]
 
Back
Top Bottom