Ushauri kwa Clouds Media Group kuhusu Diamond

Kuna kipindi Clouds ilikuwa ikinyambwa vibaya hapa Jf na wananzengo kuhusu wasanii wa kitanzania na muziki kwa ujumla. Leo Clouds imekuwa HERO inatakiwa imshughulikie Diamond
Watanzania itatuchukua muda mrefu sana mpaka kujua tunataka nini
 
Kuna kipindi Clouds ilikuwa ikinyambwa vibaya hapa Jf na wananzengo kuhusu wasanii wa kitanzania na muziki kwa ujumla. Leo Clouds imekuwa HERO inatakiwa imshughulikie Diamond
Watanzania itatuchukua muda mrefu sana mpaka kujua tunataka nini
Tunataka haki itendeke
 
Dogo mnaa sana huwa,wabongo washamjua hana mwendo tena,ndio sbbu AR chuga hawamtakagi huyo bwege
 
Huyu kijana anadharau sana. Kumsapoti ndiyo kuna mfanya ajione Mkubwa kuliko wananchi...clouds FM msituangushe

Watu wengi wanao tokwa Na mapovu kuhusu hii ngoma ya Diamond hawaja isikiliza au wale wa vijiwe vya magazeti ambao kawaambie Wafanye kazi.Haja msifia wale kumtusi mtu
 
Huna akili labda linaweza kuwa neno zuri kwako bwege wewe umependa alivyomsifia Yule makalio huna ndg aliyefukuzwa kazi kwa kosa la bashite nyamaza alikuwa kimya

Nini kimemfanya alopoke usenge wake na kuwekA picha ya baba wa taifa kwenye uchafu wake

[emoji43] [emoji35] wewe nimekustahi ila yeye dai nimempa za kumtosha kwenye instagram
 
Naunga mkono hoja 100 % inapofika mahala inabidi tuonyeshe hisia zetu kwa vitendo sio bure huwezi kumtetea muhalifu kama na wewe sio muhalifu tunajua kwanini anamnyenyekea na aina haja ya kuficha anaogopa kutajwa kwenye kashfa ya madawa kwavile anajua na yeye ni muhusika sialikuwa anapita VIP air port huyu bila ukaguzi nani asiyejua
 
Hivi nyie chadema akili zezu huwa zimechanganyika na matope?hivi huo wimbo wa diamond mmeueulew au ndo nyie mmepata zero aalafu mnamkazania Makonda.
 
Samahani waungwana kwani huyu Nasibu ana elimu gani?kamalizia Shule gani?
 
Japo sikubariani na upande ambao Diamond kasimamia....
Ila kwa level alofikia Diamond hakuna Media Bongo inayoweza kumshusha!
 
Mbona huu wimbo cloudsfm usiku kucha juma mosi wameupiga zaidi ya mara ishirini? Inamaana hawakuona maudhui ya wimbo huu? In my side wimbo ni mzuri kwa sababu ujumbe na radha ya wimbo sio lazima uwafurahishe wengi kama sio wote
 
Hana cheti cha kidato cha NNE. Ni zero brain. Hafahamu umuhimu wa cheti.
Basi huyu Nasibu ni wa kumdharau kumbe nae kamaliza la saba..Nilisikia kwamba Kiengereza cha kuombea maji kafundishwa na Wema Sepetu
 
Waaow genious povu jingi kweli haina haja ua omo kusanya kafulie boksa zako khaa!wiki nzima unazirundika tuuu kisa kwenda kumchamba mwanaume mwenzio,njoo nikupe dela umfate kabisa madale
 
Watu wa magufuli tupoooooo. Kama haupend kunywa sumu.
2020 tunampitisha tena kama hupend kajitundike.
Unapenda kila msanii aponde serikali enhee. Diamond anaangalia soko bcz sis tupo weng af kingine Diamond hanaga soko la wavuta bangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…