Ushauri kwa Diamond kama shabiki beef halikusaidii tumia akili kulikwepa

Eti salam sk nae katoa povu. Duh! Kwann wasitulie??

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
'A great game achieves a balance in the gameplay and mechanics, providing the right amount of encouragement and challenge to keep players going'

kila mtu apambane na hali yake! music is a game and chibu is the best at it.

Keep it up Diamond.
There's no competition when you're manifesting your own lane.
 
Hiyo yote inatokana na watu kutozipokea kazi zake kama ilivyokua awali lazima apate stress na hii itamchanganya zaidi endapo hata huo wimbo anaotarajia kuutoa ukafanya vibaya. Tumuombee tu asijetuliza hizo stress kwa ngada kama kina chidy
 
Hata juzi Diamond ndio alianza chokochoko kwenye fresh remex hakuchoka akatoa remex nyingine tena kwenye instagram ambayo ilikuwa na maneno makali zaidi hadi ommy dimpoz akacharuka kumjibu

So alichokifanya Diamond ni kuzidi kumpa promo alikiba katika ngoma yake mpya kupata viewers zaidi

Diamond alishauriwa na pfunk kuwa atengeneze hali ya mashabiki wake kummiss yaani asiachie nyimbo hovyo hovyo zitachuja mapema na ndio maana kukaa kimya kwa mda mrefu kwa kiba kumemfanya watu wamiss nyimbo mpya thats why imepata view nyingi kwa haraka youtube japo kukaa kimya kwa mwaka sio kitu kizuri saaana

Kingine ni maisha ya D Ya nyodo na Zari wake yalimfanya akapoteza mashabiki wengi sana mean mashabiki wananunua kazi zako hutakiwi kuwaonyesha nyodo watakuchukia. Ilifika mahali D anawaita watu vichupi kunuka sababu ya zari hhhh, akamwambia Hamissa bitch are dying for fame ,, huwezi ukawa na nyodo hivi alafu ukaongeza mashabiki zaidi utawapunguza tu

Amekuwa akiweka sana maisha yake ya ndani instagram akizani ndio itamuongezea kiki kumbe ndio anajiharibia na ukitaka kuamini mwangalie Alikiba hana majivuno na maisha yake ni Private ,mwangalie Wizkid na Davido yaani hawaringi hata kidogo ukitaka kuamini ingia kwenye account zao za instagram yaani wao ni kazi na kushow love tu hakuna majungu

Diamond inambidi kuanzia sasa aachane na huu ugomvi kimya kimya kwani unampotezea mashabiki wengi. Anatakiwa atulie na aache nyodo na ajitahidi kuweka maisha yake private kingine anatakiwa ajaribu kutengeneza kazi zake kwa maprodcer wengine aache kumtegemea laizer ambaye beats zake zinafanana na sio mbunifu

Diamond una kipaji sana bro na roho nzuri nikimaanisha kuwasaiidia akina Harmonize,Rayvanny,lavalava, kumleta kundini Mavoko na kuajiri madancer na wengine wengi sio kitu kidogo bro,umeonyesha huna roho ya ubinafsi kabisa. Lakini mambo mazuri uliyoyatenda yatazibwa na mabeef na nyodo unazowawekea wasanii wenzako na sisi maboss wako tunaokuweka mjini(mashabiki zako)

**************Over************

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo yote inatokana na watu kutozipokea kazi zake kama ilivyokua awali lazima apate stress na hii itamchanganya zaidi endapo hata huo wimbo anaotarajia kuutoa ukafanya vibaya. Tumuombee tu asijetuliza hizo stress kwa ngada kama kina chidy
Unahisi ni kwa nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah umeongea point kabisa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajui huyo wanaojua hawajichanganyi hata siku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemamilza yote njoo uchukue Robertson

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Domo kaanza kua choko sana hata kama ni biz sio za kishamba namna iyo

Psalm 133:1[emoji768] "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
 
Katoa nyimbo 3 zikabuma akaona atafanyaje sasa na hasimu wake amelala hakuna mpambano akaamua kuchokoza vita jamaa aaamke na kilichotokea jamaa ameamka kweli kweli na kwa nguvu zote na diamond kajikuta anafeli vibaya sana
 
Sallam hana akili, lengo la kutoa zilipendwa walitaka wafikishe viewers million moja kabla seduce me haijafikisha. Ili wajitape mitandaoni. Ila sasa wameaibika. Seduce me imegonga 1M kabla yao. WBC huko walipo lazima confo limeshuka sana.
True kabisa
 
Katoa nyimbo 3 zikabuma akaona atafanyaje sasa na hasimu wake amelala hakuna mpambano akaamua kuchokoza vita jamaa aaamke na kilichotokea jamaa ameamka kweli kweli na kwa nguvu zote na diamond kajikuta anafeli vibaya sana
Ndo maana namshauri japo sijui kama wanapitaga kwny iz forum. Apunguze mihemuko na kumuwaza sana mshindani wake awaze kazi zake zaidi alafu atumie akili kubwa kujitenga na hili beef maana linamfaidisha mpinzani wake kuliko yeye.

Alafu kama ingekuwa ni maamuzi yangu sallam sk inatakiwa afukuzwe pale WCB maana ndo naona anachochea sana maugomvi siyo mtu wa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu wanawuwaza sana Alikiba sana kuliko kitu chochote yaani wakiskia Alikiba anatoa kazi hawalali na Alikiba alivyokaa kimya mwaka game ilipooza na diamond akaona amuamshe jamaa inabidi ajitafakari maana kilichotokea sasa wcb hawaamini na kuna kipindi kubadili meneja hauepukiki mbona davido kabadili aangalie akiona inafaa amfukuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…