Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
There's no competition when you're manifesting your own lane.'A great game achieves a balance in the gameplay and mechanics, providing the right amount of encouragement and challenge to keep players going'
kila mtu apambane na hali yake! music is a game and chibu is the best at it.
Keep it up Diamond.
Hiyo yote inatokana na watu kutozipokea kazi zake kama ilivyokua awali lazima apate stress na hii itamchanganya zaidi endapo hata huo wimbo anaotarajia kuutoa ukafanya vibaya. Tumuombee tu asijetuliza hizo stress kwa ngada kama kina chidyOfcours yes!!
Mameneja naona kazi yao inataka kuwashinda wakae chini waumize kichwa. Hili beef sioni faida yyt kwao.
Jay z alikuwa na beef na Nas lkn baada ya kuona beef linamfaidisha Nas zaidi aliamua kulikwepa na kukaa pembeni na akaendelea kudili na mambo zake
Dogo anajua sana lakin naona kaanza kujichanganya sana miaka ya hiv karibuni plus uropokaji na kudhalilisha wanawake ni vitu vinavyo mpotezea sifa siku adi siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
There's no competition when you're manifesting your own lane.
Standard 3 ulikuwa tayari unayajua mashairi ya Taarabu? Upo vizuri mamaa.Umenikumbusha nikiwa std 3,kaona mambo Iko huku taraab...
Ilikuw inanoga sana huyu akatoa utalijua jiji huyu akajibu nalijua sasaUmenikumbusha nikiwa std 3,kaona mambo Iko huku taraabu imo .Aisee wale walikuwa maadui kweli kweli. RIP Nasma.
Unahisi ni kwa nn?Hiyo yote inatokana na watu kutozipokea kazi zake kama ilivyokua awali lazima apate stress na hii itamchanganya zaidi endapo hata huo wimbo anaotarajia kuutoa ukafanya vibaya. Tumuombee tu asijetuliza hizo stress kwa ngada kama kina chidy
Naye mwenyewe uswahili umemjaaNiliwahi kuandika hapa tatizo la diamond ni malezi na mameneja ambao naona hawana nguvu juu yake ni tatizo kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah umeongea point kabisa mkuu.Hata juzi Diamond ndio alianza chokochoko kwenye fresh remex hakuchoka akatoa remex nyingine tena kwenye instagram ambayo ilikuwa na maneno makali zaidi hadi ommy dimpoz akacharuka kumjibu
So alichokifanya Diamond ni kuzidi kumpa promo alikiba katika ngoma yake mpya kupata viewers zaidi
Diamond alishauriwa na pfunk kuwa atengeneze hali ya mashabiki wake kummiss yaani asiachie nyimbo hovyo hovyo zitachuja mapema na ndio maana kukaa kimya kwa mda mrefu kwa kiba kumemfanya watu wamiss nyimbo mpya thats why imepata view nyingi kwa haraka youtube japo kukaa kimya kwa mwaka sio kitu kizuri saaana
Kingine ni maisha ya D Ya nyodo na Zari wake yalimfanya akapoteza mashabiki wengi sana mean mashabiki wananunua kazi zako hutakiwi kuwaonyesha nyodo watakuchukia. Ilifika mahali D anawaita watu vichupi kunuka sababu ya zari hhhh, akamwambia Hamissa bitch are dying for fame ,, huwezi ukawa na nyodo hivi alafu ukaongeza mashabiki zaidi utawapunguza tu
Amekuwa akiweka sana maisha yake ya ndani instagram akizani ndio itamuongezea kiki kumbe ndio anajiharibia na ukitaka kuamini mwangalie Alikiba hana majivuno na maisha yake ni Private ,mwangalie Wizkid na Davido yaani hawaringi hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui huyo wanaojua hawajichanganyi hata siku mojaOfcours yes!!
Mameneja naona kazi yao inataka kuwashinda wakae chini waumize kichwa. Hili beef sioni faida yyt kwao.
Jay z alikuwa na beef na Nas lkn baada ya kuona beef linamfaidisha Nas zaidi aliamua kulikwepa na kukaa pembeni na akaendelea kudili na mambo zake
Dogo anajua sana lakin naona kaanza kujichanganya sana miaka ya hiv karibuni plus uropokaji na kudhalilisha wanawake ni vitu vinavyo mpotezea sifa siku adi siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemamilza yote njoo uchukue RobertsonHata juzi Diamond ndio alianza chokochoko kwenye fresh remex hakuchoka akatoa remex nyingine tena kwenye instagram ambayo ilikuwa na maneno makali zaidi hadi ommy dimpoz akacharuka kumjibu
So alichokifanya Diamond ni kuzidi kumpa promo alikiba katika ngoma yake mpya kupata viewers zaidi
Diamond alishauriwa na pfunk kuwa atengeneze hali ya mashabiki wake kummiss yaani asiachie nyimbo hovyo hovyo zitachuja mapema na ndio maana kukaa kimya kwa mda mrefu kwa kiba kumemfanya watu wamiss nyimbo mpya thats why imepata view nyingi kwa haraka youtube japo kukaa kimya kwa mwaka sio kitu kizuri saaana
Kingine ni maisha ya D Ya nyodo na Zari wake yalimfanya akapoteza mashabiki wengi sana mean mashabiki wananunua kazi zako hutakiwi kuwaonyesha nyodo watakuchukia. Ilifika mahali D anawaita watu vichupi kunuka sababu ya zari hhhh, akamwambia Hamissa bitch are dying for fame ,, huwezi ukawa na nyodo hivi alafu ukaongeza mashabiki zaidi utawapunguza tu
Amekuwa akiweka sana maisha yake ya ndani instagram akizani ndio itamuongezea kiki kumbe ndio anajiharibia na ukitaka kuamini mwangalie Alikiba hana majivuno na maisha yake ni Private ,mwangalie Wizkid na Davido yaani hawaringi hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
There is no a perfect one, ndo maana nikamtolea mfano Jay z baada ya kuona beef lke na Nas halimunufaishi aliamua kunyuti na kendelea na mIsha yake
Katoa nyimbo 3 zikabuma akaona atafanyaje sasa na hasimu wake amelala hakuna mpambano akaamua kuchokoza vita jamaa aaamke na kilichotokea jamaa ameamka kweli kweli na kwa nguvu zote na diamond kajikuta anafeli vibaya sanaNaomba mods msifute thread yangu au kuiunganisha.
Ww diamond ni msanii mkubwa sana na ulikuwa umejijengea heshima kubwa sana kwenye jamii kutokan na kazi zako za mziki. Ni mtu ambaye ulikuwa una deel na kazi zako tu, ulikuwa siyo mtu wa mabifu na maugomvi mtu mnyenyekevu nakumbuka wasanii wenzio walikuwa wanakusem sana lakini ulikuwa unapiga kimy na kazi ndo zilikuwa zinaongea zenyewe.
Lakini kwa nini umebadirika ghafla maana siyo yule mond niliyemzoea umekuwa mropokaji, mtaka shari, kutukana na kudharirisha wanawake, uku ukijua kabisa hawo ndo mafansi zako wakubwa. Kitu kingine ambacho sijapendezwa nacho ni hii tabia ulioianzisha ya kutaka uonekane ww tu hutaki wenzio wasikike, inajulikana kabisa ww na kiba haziivi na maadui zako wameunganish nguvu na kiba ili wakuumize kwa nn unashindwa kujiongeza na kutumia akili kujitenga na hilo beef, sikuona umuhimu wowte wa ww kuamua kuiblock ngoma ya mshindani wako kwa kuachia wimbo mda mchache baada ya yeye kutoa wimbo., Inajulikana kuwa tar 1 sep unatoa wimbo uloshirikiana na patoranking si ungesubiri muda ukafika ukatoa huwo wimbo. Na jinsi wimbo wa kiba ulivo mbovu ungekuw tyar ushajifia lakini cha ajabu umekurupuka ukatoa wimbo ambao ni mzuri tu lkn watu tumeuchukia kwa sababu umeutoa ili kuu block wimbo wa kiba usivume kitu ambacho ni ushamba na unprofessional na badala yake imeback fire kwako, kama mtu wa kujifunza umejifunza next time usirudie, fanya kazi zako ww kama ww na siyo kwa mashindano. Beef halikufaishi ila linamfaidisha mpinzani wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
True kabisaSallam hana akili, lengo la kutoa zilipendwa walitaka wafikishe viewers million moja kabla seduce me haijafikisha. Ili wajitape mitandaoni. Ila sasa wameaibika. Seduce me imegonga 1M kabla yao. WBC huko walipo lazima confo limeshuka sana.
Ndo maana namshauri japo sijui kama wanapitaga kwny iz forum. Apunguze mihemuko na kumuwaza sana mshindani wake awaze kazi zake zaidi alafu atumie akili kubwa kujitenga na hili beef maana linamfaidisha mpinzani wake kuliko yeye.Katoa nyimbo 3 zikabuma akaona atafanyaje sasa na hasimu wake amelala hakuna mpambano akaamua kuchokoza vita jamaa aaamke na kilichotokea jamaa ameamka kweli kweli na kwa nguvu zote na diamond kajikuta anafeli vibaya sana
Kabisa mkuu wanawuwaza sana Alikiba sana kuliko kitu chochote yaani wakiskia Alikiba anatoa kazi hawalali na Alikiba alivyokaa kimya mwaka game ilipooza na diamond akaona amuamshe jamaa inabidi ajitafakari maana kilichotokea sasa wcb hawaamini na kuna kipindi kubadili meneja hauepukiki mbona davido kabadili aangalie akiona inafaa amfukuzeNdo maana namshauri japo sijui kama wanapitaga kwny iz forum. Apunguze mihemuko na kumuwaza sana mshindani wake awaze kazi zake zaidi alafu atumie akili kubwa kujitenga na hili beef maana linamfaidisha mpinzani wake kuliko yeye.
Alafu kama ingekuwa ni maamuzi yangu sallam sk inatakiwa afukuzwe pale WCB maana ndo naona anachochea sana maugomvi siyo mtu wa amani.
Sent using Jamii Forums mobile app