Ushauri kwa Diamond kama shabiki beef halikusaidii tumia akili kulikwepa

Yeah ni vyema kama hakizi vigezo lzm afukuzwea sk anapenda san vita ni mtu wa vijembe sana vitu vinavofanya kuongeza chuki kwa mashabiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SK ni pandikizi la Kiba kuhakikisha WCB inafifia lkn pia Kumbukeni wcb walichomfanyia Q boy naamin haya ni malipo ya muumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachawi wa WCB ni Sallam SK na Producer wao asiyekuwa na jipya Laizer. Wakirekebisha hapo, kila kitu kitakuwa sawa. Laizer hana uwezo wa kumpeleka Diamond BET au MTV kama ilivyokuwa zamani. Miziki ya akina Davido, Wizkid n.k. inaandaliwa na Producers ambao ni very World Class. Diamond na Management yake waliangalie suala hili kwa umakini na haraka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamq laizer ndo hana ubunifu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamq laizer ndo hana ubunifu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndo anayeua kipaji cha Diamond na wasanii wenza kwa kufanya business as usual kama maprocer karibu wote wa kibongo. Poor composition, poor mixing, no creativity, hana challenge sio kwa bosi wake wala kwa maproducer wengine pamoja na kuwa supplied with vifaa vyote vya thamani na kuwekewa classic ambient office. Mwenzake Nahreel alianzaga na laptop tu akateka soko, sijui yeye atajitetea kwa lipi. Poor him.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marehemu babu yangu alikuwa ananiambia mara nyingi ....KILA LENYE MWANZO LINA MWISHO....Mwambieni Dai akae kimya mwaka mmoja kama Ali K ....atapotea kwa kasi ya sonic
 
Umeandika vyema kudharau mashabiki wako ni dhambi kubwa sana hata kama wanakudis sometimes.

Kingine me sielewe nia ya diamond kutaka kukandamiza wasanii wengne ili atoke yeye na wasafi wenzake tu.Nia yetu kama watz ni kupata wasanii wengne wakubwa kama yeye watakao iwakilisha tz nje.Tunatamani tuwe na labels kubwa za wasanii wengi wa kitanzania ili tukamate soko la afrika na dunia na sio wasafi kutaka kubaki peke yao tu.Izi teams zinaturudisha nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatzo wakiahauliwa vitu vizuri wanaona aaah huyu hater tu kumbe mtu anakwambia point. Diamond punguza dharau kwa mashabiki acha maneno ya ajabuajabu kama mtoto wa kike sijui vinuka chupi, mara bitch ili kumfurahisha uyo bibi yako maana ukifuria hata leo huyo demu hitomuona coz yupo kwako kimasirahi so rudisha bond ulokuwa nayo na mashabiki zako alafu anza kulipotezea beef lako na kiba kmy kmy hata kwenye interviews jaribu kuwa unakwepa maswali yanayomuhusu kiba coz nimeshaexperience kitu kuwa hata unapomuongelea kwa mazuri raia huwa zinamaindi so uwe unakausha hii itasaidia kupoteza attention kwa watu juu ya upinzani wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi mkuu hata Chris brown bifu na wanawake ( kumpiga rihhana )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hata mimi japo team kiba lkn huyu jamaa ana nicomfuse na tabia zake za ajabu ajabu siku hizi,inaweza kuwa kuna mambo anashindwa kuya control sasa yanamlevya (overrated)au ana personal problem zinampa stress ndo kuamua kufufua hizi bifu ili apotezee stress
 
Kuna feminists ambao hatujafurahishwa Hamisa kuitwa bitch na kitendo cha kukataa mtoto. Kwakweli angekuwa mstaarabu angempa Ali Kiba salami kama big up bro na yeye angetoa zilipendwa September.
Jay z pamoja na ukubwa wake lakini ilimubidi akubali kushindwa na Nas coz beef lilimwelemea na kuona ana loos vtu vng kuliko anavogain ikabidi a-move on na tokea apo beef likaanza kufifia na kubaki historia tu.

So ni muda wa mond kuanza kulipa kisogo hil beef maana linamugharimu badala ya kumfaidisha.

Na ajitahidi kutofautisha kazi na maisha yake binafsi anze kuwa private maswala ya kutuonyesha kila anachofanya na bibi yake watu tushachishwa na huwo ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi mkuu hata Chris brown bifu na wanawake ( kumpiga rihhana )

Sent using Jamii Forums mobile app
Tokea chris brown ampige rihanna umarufu wake ulidrop faster asa iv kashabakiza jina tu. Kila siku anatoa nyimbo lkn hazina umarufu wwt.

Wanawake wana nguvu sana kwenye hizi sanaa zetu maana wakishakukubali tu ushakuwa maarufu lkn wakikupa kisogo maji utaita mma, ofcourse ata mm nilichukia sana kumwita hamissa bitch nilijihisi kama kanitukania dada angu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…