Hata juzi Diamond ndio alianza chokochoko kwenye fresh remex hakuchoka akatoa remex nyingine tena kwenye instagram ambayo ilikuwa na maneno makali zaidi hadi ommy dimpoz akacharuka kumjibu
So alichokifanya Diamond ni kuzidi kumpa promo alikiba katika ngoma yake mpya kupata viewers zaidi
Diamond alishauriwa na pfunk kuwa atengeneze hali ya mashabiki wake kummiss yaani asiachie nyimbo hovyo hovyo zitachuja mapema na ndio maana kukaa kimya kwa mda mrefu kwa kiba kumemfanya watu wamiss nyimbo mpya thats why imepata view nyingi kwa haraka youtube japo kukaa kimya kwa mwaka sio kitu kizuri saaana
Kingine ni maisha ya D Ya nyodo na Zari wake yalimfanya akapoteza mashabiki wengi sana mean mashabiki wananunua kazi zako hutakiwi kuwaonyesha nyodo watakuchukia. Ilifika mahali D anawaita watu vichupi kunuka sababu ya zari hhhh, akamwambia Hamissa bitch are dying for fame ,, huwezi ukawa na nyodo hivi alafu ukaongeza mashabiki zaidi utawapunguza tu
Amekuwa akiweka sana maisha yake ya ndani instagram akizani ndio itamuongezea kiki kumbe ndio anajiharibia na ukitaka kuamini mwangalie Alikiba hana majivuno na maisha yake ni Private ,mwangalie Wizkid na Davido yaani hawaringi hata kidogo ukitaka kuamini ingia kwenye account zao za instagram yaani wao ni kazi na kushow love tu hakuna majungu
Diamond inambidi kuanzia sasa aachane na huu ugomvi kimya kimya kwani unampotezea mashabiki wengi. Anatakiwa atulie na aache nyodo na ajitahidi kuweka maisha yake private kingine anatakiwa ajaribu kutengeneza kazi zake kwa maprodcer wengine aache kumtegemea laizer ambaye beats zake zinafanana na sio mbunifu
Diamond una kipaji sana bro na roho nzuri nikimaanisha kuwasaiidia akina Harmonize,Rayvanny,lavalava, kumleta kundini Mavoko na kuajiri madancer na wengine wengi sio kitu kidogo bro,umeonyesha huna roho ya ubinafsi kabisa. Lakini mambo mazuri uliyoyatenda yatazibwa na mabeef na nyodo unazowawekea wasanii wenzako na sisi maboss wako tunaokuweka mjini(mashabiki zako)
**************Over************
Sent using
Jamii Forums mobile app