Ushauri kwa Diamond: Unatia aibu, achana na Makonda anakuharibia sana

Ushauri kwa Diamond: Unatia aibu, achana na Makonda anakuharibia sana

Mchafu ni yeye au wewe?

Anajuana nae miaka mingi, ulikuwa wapi kumshauri au umeona nini kibaya kimemtokea Diamond. Jembe la Taifa Mh. Makonda yupo juuuuuuuuuu

Acha wivu, uvivu na tamaa

Yaani unamfikiria Makonda hadi kuingilia maisha yake kila upande. Embu ishi kivyako wewe na wenzako wote


Mnamchafua mnashindwa, unakuja kuanza kuingilia maisha ya watu.

Umeandika upupwu haswa, fikiria maisha yako yasonge acha wivu.


Na bado


Makonda oyeeeeee
Upo kiushabiki zaid
 
Anajikaza tu afanyaje si wanalazimishwa kumpenda huyo mungu wenu wa dar na usipfanya hivo utajikuta central
 
Bob Marley alipogundua kila Mwanasiasa kule Jamaica anataka kumtumia kisiasa kwa sababu ya nyota yake ya Ustaa, hakumuunga mkono yeyote waziwazi!

Hawa wanamuziki wa sasa waachane na wanasiasa, ni bora kama wanataka kuwa wanasiasa basi wasimame wao kama wao!
Mimi ni fan wa Diamond partially, lakini najua kijana hana uwezo wa kwenda against na matakwa ya CCM.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]

Kwahiyo humkubali Kiba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Aah hiyo nimeacha uamue mwenyewe. Ila na lean upande unao udhania.

Sasa najua wwe lazima una lean upande wa aje remix
 
Wabongo wanapofikia hatua kumfundisha mtu amchukie mwenzake na Hapo uatajua Kwanini hatufanikiwi
 
Kamchunguze makapuku utamfahamu
Hahaha
Fastaaa, ngoja nende

Thanks kwa kunipa trails nizifuate.

Kijana kanitisha, ka join late halafu ana sema sikuwepo, [emoji23]
Sijafikia umaarufu huo mimi hapa jf.
 
Mchafu ni yeye au wewe?

Anajuana nae miaka mingi, ulikuwa wapi kumshauri au umeona nini kibaya kimemtokea Diamond. Jembe la Taifa Mh. Makonda yupo juuuuuuuuuu

Acha wivu, uvivu na tamaa

Yaani unamfikiria Makonda hadi kuingilia maisha yake kila upande. Embu ishi kivyako wewe na wenzako wote


Mnamchafua mnashindwa, unakuja kuanza kuingilia maisha ya watu.

Umeandika upupwu haswa, fikiria maisha yako yasonge acha wivu.


Na bado


Makonda oyeeeeee
Mdada ka ww unaandika huu uharooo...kama huu....bora unyamaze tu, kila siku unamtetea bwana ako kwa kigezo cha wivu wa maendeleoo....eti watu wanamuonea wivuu...polyeee, unaemtetea ni kilaza wa hali ya juu
* Amepiga atua kumi(10) hewa anarudi kumi na nane nyuma(18) . 10-18=???
 
Diamond umehangaika kujenga brand yako sana.kitendo ulichofanya juzi kutokea kwenye sherehe ya makonda ya kutimiza mwaka mmoja wa Makonda umejishusha sana. Makonda ni mchafu sana kwa aliyoyafanya. Usidhani anapingwa na chadema tu..hata sisi CCM tunataka aondolewe.

Diamond umekosa nn? Unamashabiki wengi sana..!! Usipende kujihusisha na chama hasa na watu km makonda ambao wameshafuka. Unamashabiki wengi sana waliopo ccm, ukawa, na wasio na vyama. Acha kujipendekeza kijana jiamini..!! Makonda anakuzidi nini cha ziada..!! Makonda hakufikii kwa chochote. Makonda ni liability kwako ..not asset km unavyodhani.

Makonda acha kutumia mgongo wa wasanii kujisaficha hauwezi ukawa msafi tena. Kwanza umedanganya umma kuhusu jina lako, unatumia Cheti siyo chako. Chama kinapitia wakati mgumu kwa sababu yako. Umemfanya Rais anaonekana ana double standard kisa wewe.

Suala siyo ziro..suala ni kitumia Cheti cha MTU.

Diamond achana na makonda na mambo ya vyama. Makonda huyu ambaye akifika hata marekani anapiga picha..ushamba mzigo..!! Diomomd wewe siyo tid, wewe siyo yule mzee kijana mtoto wa malechela ambaye hajielewi.

Diamond kuwa mjanja basi. makonda anakutia aibu. Punguza kujifanya wewe ccm..wewe siyo ccm ..wenye ccm hawana makeke hivyo, wametulia kimya..!! Watakutumia tu. Hata juma nature na marlaw walikuwa ccm. Wewe ni asset..

Diamond unakuwa km bashite na wewe.

Unaweza ukapoteza muda kuandika uzi mreeeefu halafu pumba tu .

Vita ya dawa za kulevya na vyeti ni ipi issue ya muhimu ?

Mlikua wapi wakati anachaguliwa mbona hamkusema mpaka mchakato wa vyeti fake unapita mko kimya ?

Geajima na nyumbu wenzake kimewasibu nini ?
 
Back
Top Bottom