Ushauri kwa Diamond: Unatia aibu, achana na Makonda anakuharibia sana

Upo kiushabiki zaid
 
Anajikaza tu afanyaje si wanalazimishwa kumpenda huyo mungu wenu wa dar na usipfanya hivo utajikuta central
 
Mimi ni fan wa Diamond partially, lakini najua kijana hana uwezo wa kwenda against na matakwa ya CCM.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]

Kwahiyo humkubali Kiba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Aah hiyo nimeacha uamue mwenyewe. Ila na lean upande unao udhania.

Sasa najua wwe lazima una lean upande wa aje remix
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Aah hiyo nimeacha uamue mwenyewe. Ila na lean upande unao udhania.

Sasa najua wwe lazima una lean upande wa aje remix
Basi wote tuko Team Tanzania
 
Wabongo wanapofikia hatua kumfundisha mtu amchukie mwenzake na Hapo uatajua Kwanini hatufanikiwi
 
Kamchunguze makapuku utamfahamu
Hahaha
Fastaaa, ngoja nende

Thanks kwa kunipa trails nizifuate.

Kijana kanitisha, ka join late halafu ana sema sikuwepo, [emoji23]
Sijafikia umaarufu huo mimi hapa jf.
 
Mdada ka ww unaandika huu uharooo...kama huu....bora unyamaze tu, kila siku unamtetea bwana ako kwa kigezo cha wivu wa maendeleoo....eti watu wanamuonea wivuu...polyeee, unaemtetea ni kilaza wa hali ya juu
* Amepiga atua kumi(10) hewa anarudi kumi na nane nyuma(18) . 10-18=???
 

Unaweza ukapoteza muda kuandika uzi mreeeefu halafu pumba tu .

Vita ya dawa za kulevya na vyeti ni ipi issue ya muhimu ?

Mlikua wapi wakati anachaguliwa mbona hamkusema mpaka mchakato wa vyeti fake unapita mko kimya ?

Geajima na nyumbu wenzake kimewasibu nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…