Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
HahahaBasi wote tuko Team Tanzania
Hapo uko sawa
Kama wewe Bally mimi Rojo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaBasi wote tuko Team Tanzania
Mdada ka ww unaandika huu uharooo...kama huu....bora unyamaze tu, kila siku unamtetea bwana ako kwa kigezo cha wivu wa maendeleoo....eti watu wanamuonea wivuu...polyeee, unaemtetea ni kilaza wa hali ya juu
* Amepiga atua kumi(10) hewa anarudi kumi na nane nyuma(18) . 10-18=???
Bailly na Rojo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Hapo uko sawa
Kama wewe Bally mimi Rojo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
HahahaAcha nimsaidie mnamuonea wivu handsome makonda
Acha kumdanganya bwana kapukuku penyewe sipafaham
Unaweza ukapoteza muda kuandika uzi mreeeefu halafu pumba tu .
Vita ya dawa za kulevya na vyeti ni ipi issue ya muhimu ?
Mlikua wapi wakati anachaguliwa mbona hamkusema mpaka mchakato wa vyeti fake unapita mko kimya ?
Geajima na nyumbu wenzake kimewasibu nini ?
Hahaha
Mbona sasa una anza kuwa kama diamond na wewe
Ebu tuache tumchambue RC wetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bailly na Rojo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ungependa kuona collabo la Alikiba na Diamond[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeeh
Yaan hatari ndio tim tanzania hiyo
Jumapili inakaribia kweli jiandae nitakupitia twende kanisaniAah halafu bora jpil inakaribia
YesUngependa kuona collabo la Alikiba na Diamond
Team Tanzania
Ungependa kuona collabo la Alikiba na Diamond
Team Tanzania
Tuwe na matumaini.Yes
Tz okey
Though najua hwawez fanya kolabo ila ingekaa poa tu
HahahaaAah kila kona lazima kuwe na chama pinzani sio kwenda kwa mwendo wa yes yes tu hainogi
Hata wewe hutaki au? HahahahAahh tunakatana stimu bana in kiba's voice (mwenzenu hataki bifu liishe mjue)
Jumapili inakaribia kweli jiandae nitakupitia twende kanisani
Hata wewe hutaki au? Hahahah
Hahahaha duuhEe bana tutakosa mengi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aahh tunakatana stimu bana in kiba's voice (mwenzenu hataki bifu liishe mjue)