Ushauri kwa Dr Madelu Mwigulu Nchemba, kuwa na Tozo za ubunifu

Ushauri kwa Dr Madelu Mwigulu Nchemba, kuwa na Tozo za ubunifu

The Saver

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
202
Reaction score
651
Kama ulivyo kawaida ya salamu yetu, Mama anaupiga mwingi.

Majibu: Mama Endelea kukamua

Ushauri wa BURE kwa Mwigulu

Ebu tafuta tozo hata kdg kwa watu Hawa, wape leseni kisanya hicho kidogo kitasadia

1. Mafundi ujenzi wawe na leseni
2. Mafundi bomba
3. Mafundi umeme
4. Vinyozi
5. Mafundi magari
6. Wapika chips usiku walipe kodi au wawe na leseni
7. Mafundi selemala
8. Mafundi wote
9. Madini yetu hawalipi kodi (hapa wanawawekea hela kwenye personal account arafu mnakuwa kimya mnatukamua sisi)

Mnaweza kuongeza hapo.
 
Hao mafundi nao si watalalamika kwamba wanaongezewa gharama wakati kipato kidogo, na mzigo wa watu million 60+ wa maji vijijini unawatwisha hawa mafundi na wauza chips ambao hata million 1 hawazidi
 
Back
Top Bottom