Ushauri kwa Jaji Mohammed Chande Othman: Ajiuzuru kutoka katika Tume feki!

Ushauri kwa Jaji Mohammed Chande Othman: Ajiuzuru kutoka katika Tume feki!

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,667
Reaction score
21,296
Umekuwa Jaji Mkuu ambaye angalau Watanzania walikuwa na imani katika utendaji wako. Ulipewa heshima unayostahili na kwa kiasi fulani uliilinda.

Samia anataka kukutumia ili usafishe maovu yake na damu za raia alizomwaga kwa sababu ya uroho wa madaraka! Usikubali! Mikono ya Samia imejaa damu za watoto wasio na hatia. Mikono ya Samia haisafishiki! Samia ni muuaji! Samia ameua ili awe Rais, ili aweze kuhujumu rasilimali za Tanganyika, ili alinde familia za wanamtandao wakiongozwa na Kikwete!

Anakuchanga na Jaji Prof. Juma ambaye ndiye kwa kiasi kikubwa ameharibu na kushusha hadhi ya Mahakama Kuu Tanzania. Prof. Juma ameifanya Mahakama Kuu kuwa idara ndani ya CCM. Prof. Juma ni chawa wa Samia kwa sababu njaa ya madaraka!

Samia anakuchanganya Mama Tax ambaye alikuwa Waziri wa ulinzi! Kiongozi wa jeshi ambalo limeshindwa kuwalinda raia dhidi ya mauaji ya kikatili yaliyofanywa na polisi. Tax ni mtuhumiwa wa mauaji ya raia!

Hao maaskari waliowekwa kwenye hiyo Tume yako ni wanufaika wa utawala huu dhalimu wa Samia na hawawezi kukusaidia kwa lo lote.

Huyo Ombeni njaa bado inamsumbua ni chawa anayelinda maslahi yake.

Hivyo Jaji Mohammed Chande Othman usikubali kujivunjia heshima kubwa uliyojijengea kwa muda mrefu kwa maslahi ya muda mfupi. Jiuzulu haraka kutoka katika hiyo Tume kuepuka kujipaka damu za Watanganyika wasio na hatia! Heshima haijengwi mara mbili.

Ukijiuzuru utakumbukwa wa wapenda haki kote duniani daima!
 
Ngoja tuone itakavyokuwa ila makapi na ngano havikai pamoja
 
Niliwaza hivyo huyu Mzee ajiondoe kwenye hiyo Tume.
 
Niliwaza hivyo huyu Mzee ajiondoe kwenye hiyo Tume.
Eti wale machawa waganga njaa wanaweza kumchunguza Samia! Kwa aibu itakayowakuta wote wangejitoa.
 
Screenshot_20251119-103538~2.png
 
Back
Top Bottom