Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Amefanya nini cha maana kwa watanzania zaidi ya kupanga kiwi nywele?Unaweza kutoa evidence??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amefanya nini cha maana kwa watanzania zaidi ya kupanga kiwi nywele?Unaweza kutoa evidence??
Nimeielewa hoja yako, na pengine hata yeye anajua hivyo kaamua tu awe mbungeKama umesoma vizuri, naona sio vema kuwa Mbunge, PM then baada ya uchaguzi awe mbunge wa kawaida, au waziri wa kawaida haifai hata kidogo!!
Duuu , mkuu wewe ni mgeni Tanzania??Amefanya nini cha maana kwa watanzania zaidi ya kupanga kiwi nywele?
Ok sawasawa!! Lakini hadhi alipofikia na kurudi kama mbunge wa kawaida sio nzuriNimeielewa hoja yako, na pengine hata yeye anajua hivyo kaamua tu awe mbunge
Shikamoo ni tamu sana ndugu. Wanasiasa wengi hasa huku kwetu Afrika wanapenda sana Shikamoo. We si umeona Wassira kufurahia kurudi kwenye shikamoo pamoja na umri mkubwa alionao! Mwenzake wa miaka 76 ameomba kustaafu yeye wa miaka 80 amerudi kazini kiroho sasfi kabisa.Kwani Majariwa si kamaliza miaka yake kumi ya kuwa PM kwa anataka tena? yaani iwe 15 mpaka 2030??
Majaliwa ni msimamizi wa shughuli zote za serikali lakini wizi serikalini umetamalaki, matumizi ya hovyo na ufisadi tupu, nchi imejaa vijana wakubet tupu, Simba na Yanga, haoni aibu Tanzania kuagiza ngano, mchele, mafuta, sukari nje n.k?Duuu , mkuu wewe ni mgeni Tanzania??
Yaani huoni lolote la maana??🤔🤔
Hata ule msemo wa " don't over smart your boss" huelewei essence yake??🤔🤔??
Naona kelele ni nyingi kama vile ma PM wote waliopita walipanda ngazi na kuwa VP. Kahudumu vipindi viwili apumzike kama wenzake akina Sumaye, Pinda, LowassaHeshima kwenu,
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Mheshimiwa PM, Mbunge wa Ruangwa "Makomasho"
Napenda kutoa ushauri wangu kwako, kuhusu upepo A.K.A "mbungo" ambayo inavuma katika viunga vya msitu wa rangi ya uhai kijani.
Jaribio la Mama kujipitisha kwa mfumo wa "hati ya dharula "certificate of emergency/urgency" ambayo iliacha watu midomo wazi na kusabisha wengi kukosa usingizi usiku wa siku ile ya mkutano.
Kadiri ya upepo ulivyo, mimi naiona nafasi yako ni ndogo sana kuendelea vema kwenye siasa za Tanzania baada ya uchaguzi mkuu huu 2025.
Dr Emanuel Nchimbi mgombea mwenza tarajali wa Samia ni team Lowasa/ambayo ni team Rostam Aziz , A.K.A "King 👑 Maker "
Rostam ,is not in favor of you ku hold nafasi kubwa Tena ndani ya Serikali, na hata Mama pasi na shaka ana mtizamo tofauti kabisa juu yako.
Nafasi Yako ilikuwa ,na ulistahili pasi na shaka wewe ndio uwe mgombea Mwenza wa Samia, lakini mambo yamekuwa tofauti na ulivyotarajia/walivyotarajia wajuvi pamoja na mimi binafsi kama self political analyst.
Chemistry imekaa vibaya., kwa hili nisitafsiriwe mimi ni mdini, la hasha!!
Zanzibar Daktari Hussein Mwinyi Muslim, Samia Bara Toka Zanzibar Muslim, na wewe Toka Bara Muslim??
Naiona nafasi ndogo ya kuwa PM baada ya Uchaguzi mkuu ujao.
Uwaziri mkuu wa 2025 October utakuwa na misingi ya dini ,na kanda, hasa kanda ya Ziwa.
Kwanini kanda ya ziwa , watasema tuleteeni "PACHA" tuna mpango naye ili zipatikane kura za kanda ya ziwa za kutosha za CCM.
Nia Yako ya kugombea tena ubunge Ruangwa ni njema sana, kwa kazi kubwa nzuri uliyofanya kwa watu wa Ruangwa miundombinu ya Afya, Elimu na kikubwa zaidi ni barabara ya lami Nanganga, Ruangwa to Nachingwea, kwakweli tunakushukuru.
Pamoja na hayo yote, naona sio vizuri wewe kurudi bungeni ukawe mbunge wa kawaida kutoka uwaziri mkuu, hiyo haijakaa vizuri mbele ya Jamii, vikubwa kwa wale ambao walikuwa chini Yako ulipokuwa PM ambao kwa maagizo Yako na maelekezo yako ya kiutawala wengine walionankama wanachapwa bakora, Kwenzi au "Njingo" nkokota.
Natamani sana kuona haugombei Tena ubunge Ruangwa, sio kwamba sipendi haugombei la hasha!! unless una ahadi isiyo na shaka na Mama ya kukurudisha umalizie U PM kwa miaka mitano ijayo ili mumalize safari pamoja.
Nasema hivyo kwa vile chemistry ili ikae sawasawa ni muhimu PM awe Mkristu, VC Mkristu , Rais Zanzibar Mwislamu na Rais Bara ni Mwislamu.
Ingawa pia niweke "benefit of doubt " bonafide ,kwamba hiyo sio kanuni inaweza isifuate hivyo ila tu ni tahadhari ambayo naiona kwa jicho pekenyevu na fikra tunduizi.
Mwisho Mwishoni natamani kwa kweli kwa ajili ya heshima yako uliyojijengea mbele ya jamii, ni vema ukatafakari ikikupendeza kufuata nyayo za Mzee wetu Daktari Philip Mpango.
Nakuangalia sana katika medani za Siasa kwa sasa ndani ya CCM ulistahili hata kuwa kiongozi mkuu wa nchi yetu,lakini mazingira ya siasa,Kuna hila za makusudi , ghiriba, husuda za kuzima nyota yako utoke nje ya duara mapema.
Leo hii wewe unavokubalika kanda ya ziwa, ambayo watu wanaona sura ya Mwamba Jiwe ndani yako ilikuwa ni turufu tosha CCM kupata votes nyingi bila kumtumia "pacha"
Lakini bahati mbaya mfumo hauendi kadiri ya matakwa yetu.
Kugombea ubunge Ruangwa Leo ni sawasawa na kucheza kamari Gambling, unaweza kigombea na Mama akabadili gia angani akakuteu Tena uwe PM.
"To choose between two equal,is bad alternative in serious dillema.
Watu wa Ng'au ,Chimbila, Nanditi,Manokwe,Chiepo,Mandambe,Mandarawe,Ole, Nanguruwe,Namahema,Nnindu,Nkowe,Kipindimbi, Mitope na Likunja kuwataja wachache, wangetamani sana kuona heshima yetu inasimama mahali pake kutokana na upepo unaoendelea Chamani.
Mimi ni mdogo kiumri Sina mang'amuzibya kutosha,ila naona tu Mungu ameniongoza hivyo,Sina nafasi ya kukuona, Mwishoni mwa mwaka nilisafiri ili kupata angalalau nafasi tutete lakini protocol hazikuruhusu
Ndimi "Mjomba"
Nandagala one, Mpumalanga Afrika Kusini.
🙏🙏
Huna kazi ya kufanya mpaka uandike hizi porojo za kipuuzi. Mtu amekuwa waziri mkuu miaka 10 bado unataka sijui awe nano, kwa lipi alilonalo? Watanzania wenye sifa zaidi yake ni wengi sana apumzike. Halafu issue ya kanda ya ziwa ni ya kipuuzi, kwanza hakuna kitu kinaitwa kanda ya ziwa. hakuna utawala wa ukanda nchi hii. PM huteuliwa baada ya uchaguzi mkuu sasa mambo ya kura ya kanda ya ziwa yanahusiana vipi na PM kuteuliwa kutoka hiyo kanda ya kufikirika. Ujinga huo uliletwa na yule mshamba wenu marehemu. Sema wasukuma msijifiche kwenye blanketi ya kanda ya ziwa. wasukuma ni watu wachache sana kulinganisha na watanzania. Hawana impact yoyote kwenye uchaguzi mkuu. Mikoa iliyoko kanda ya ziwa ni makabila tofauti yenye misimamo, mila na desturi tofauti kabisa. Msilazimishe upumbavu wenu kutumia jina kanda ya ziwa. Semeni nyie washamba wasukuma mlioonja upendeleo. Huo ubaguzi na upendeleo haupo tena umeshakufa na yule mshamba wenu Magu.Heshima kwenu,
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Mheshimiwa PM, Mbunge wa Ruangwa "Makomasho"
Napenda kutoa ushauri wangu kwako, kuhusu upepo A.K.A "mbungo" ambayo inavuma katika viunga vya msitu wa rangi ya uhai kijani.
Jaribio la Mama kujipitisha kwa mfumo wa "hati ya dharula "certificate of emergency/urgency" ambayo iliacha watu midomo wazi na kusabisha wengi kukosa usingizi usiku wa siku ile ya mkutano.
Kadiri ya upepo ulivyo, mimi naiona nafasi yako ni ndogo sana kuendelea vema kwenye siasa za Tanzania baada ya uchaguzi mkuu huu 2025.
Dr Emanuel Nchimbi mgombea mwenza tarajali wa Samia ni team Lowasa/ambayo ni team Rostam Aziz , A.K.A "King 👑 Maker "
Rostam ,is not in favor of you ku hold nafasi kubwa Tena ndani ya Serikali, na hata Mama pasi na shaka ana mtizamo tofauti kabisa juu yako.
Nafasi Yako ilikuwa ,na ulistahili pasi na shaka wewe ndio uwe mgombea Mwenza wa Samia, lakini mambo yamekuwa tofauti na ulivyotarajia/walivyotarajia wajuvi pamoja na mimi binafsi kama self political analyst.
Chemistry imekaa vibaya., kwa hili nisitafsiriwe mimi ni mdini, la hasha!!
Zanzibar Daktari Hussein Mwinyi Muslim, Samia Bara Toka Zanzibar Muslim, na wewe Toka Bara Muslim??
Naiona nafasi ndogo ya kuwa PM baada ya Uchaguzi mkuu ujao.
Uwaziri mkuu wa 2025 October utakuwa na misingi ya dini ,na kanda, hasa kanda ya Ziwa.
Kwanini kanda ya ziwa , watasema tuleteeni "PACHA" tuna mpango naye ili zipatikane kura za kanda ya ziwa za kutosha za CCM.
Nia Yako ya kugombea tena ubunge Ruangwa ni njema sana, kwa kazi kubwa nzuri uliyofanya kwa watu wa Ruangwa miundombinu ya Afya, Elimu na kikubwa zaidi ni barabara ya lami Nanganga, Ruangwa to Nachingwea, kwakweli tunakushukuru.
Pamoja na hayo yote, naona sio vizuri wewe kurudi bungeni ukawe mbunge wa kawaida kutoka uwaziri mkuu, hiyo haijakaa vizuri mbele ya Jamii, vikubwa kwa wale ambao walikuwa chini Yako ulipokuwa PM ambao kwa maagizo Yako na maelekezo yako ya kiutawala wengine walionankama wanachapwa bakora, Kwenzi au "Njingo" nkokota.
Natamani sana kuona haugombei Tena ubunge Ruangwa, sio kwamba sipendi haugombei la hasha!! unless una ahadi isiyo na shaka na Mama ya kukurudisha umalizie U PM kwa miaka mitano ijayo ili mumalize safari pamoja.
Nasema hivyo kwa vile chemistry ili ikae sawasawa ni muhimu PM awe Mkristu, VC Mkristu , Rais Zanzibar Mwislamu na Rais Bara ni Mwislamu.
Ingawa pia niweke "benefit of doubt " bonafide ,kwamba hiyo sio kanuni inaweza isifuate hivyo ila tu ni tahadhari ambayo naiona kwa jicho pekenyevu na fikra tunduizi.
Mwisho Mwishoni natamani kwa kweli kwa ajili ya heshima yako uliyojijengea mbele ya jamii, ni vema ukatafakari ikikupendeza kufuata nyayo za Mzee wetu Daktari Philip Mpango.
Nakuangalia sana katika medani za Siasa kwa sasa ndani ya CCM ulistahili hata kuwa kiongozi mkuu wa nchi yetu,lakini mazingira ya siasa,Kuna hila za makusudi , ghiriba, husuda za kuzima nyota yako utoke nje ya duara mapema.
Leo hii wewe unavokubalika kanda ya ziwa, ambayo watu wanaona sura ya Mwamba Jiwe ndani yako ilikuwa ni turufu tosha CCM kupata votes nyingi bila kumtumia "pacha"
Lakini bahati mbaya mfumo hauendi kadiri ya matakwa yetu.
Kugombea ubunge Ruangwa Leo ni sawasawa na kucheza kamari Gambling, unaweza kigombea na Mama akabadili gia angani akakuteu Tena uwe PM.
"To choose between two equal,is bad alternative in serious dillema.
Watu wa Ng'au ,Chimbila, Nanditi,Manokwe,Chiepo,Mandambe,Mandarawe,Ole, Nanguruwe,Namahema,Nnindu,Nkowe,Kipindimbi, Mitope na Likunja kuwataja wachache, wangetamani sana kuona heshima yetu inasimama mahali pake kutokana na upepo unaoendelea Chamani.
Mimi ni mdogo kiumri Sina mang'amuzibya kutosha,ila naona tu Mungu ameniongoza hivyo,Sina nafasi ya kukuona, Mwishoni mwa mwaka nilisafiri ili kupata angalalau nafasi tutete lakini protocol hazikuruhusu
Ndimi "Mjomba"
Nandagala one, Mpumalanga Afrika Kusini.
🙏🙏
Uko sawasawa ndio maana nimesema " unless mama ana ahadi bisiyo na shaka kumteua Tena...." vinginevyo asigombeeNaona kelele ni nyingi kama vile ma PM wote waliopita walipanda ngazi na kuwa VP. Kahudumu vipindi viwili apumzike kama wenzake akina Sumaye, Pinda, Lowassa
Anaweza akagombea maana watu kupumzika hawataki kabisaUko sawasawa ndio maana nimesema " unless mama ana ahadi bisiyo na shaka kumteua Tena...." vinginevyo asigombee
we bwege inaonekana umelipwa kumpigia debe, akapumzike hakuna la maana amefanya miaka yote 10. Ni dhaifu ndiyo maaana kawekewa naibu. Uwe unaona aibu.Wewe post hii inakupunguzia nini mpaka upige kelele???🤔🤔
Wewe huna kazi ya kufanya mpaka umekuja kujifanya kujibu kumbe umeleta UHARO???🤣🤣🤔🤔Huna kazi ya kufanya mpaka uandike hizi porojo za kipuuzi. Mtu amekuwa waziri mkuu miaka 10 bado unataka sijui awe nano, kwa lipi alilonalo? Watanzania wenye sifa zaidi yake ni wengi sana apumzike. Halafu issue ya kanda ya ziwa ni ya kipuuzi, kwanza hakuna kitu kinaitwa kanda ya ziwa. hakuna utawala wa ukanda nchi hii. PM huteuliwa baada ya uchaguzi mkuu sasa mambo ya kura ya kanda ya ziwa yanahusiana vipi na PM kuteuliwa kutoka hiyo kanda ya kufikirika. Ujinga huo uliletwa na yule mshamba wenu marehemu. Sema wasukuma msijifiche kwenye blanketi ya kanda ya ziwa. wasukuma ni watu wachache sana kulinganisha na watanzania. Hawana impact yoyote kwenye uchaguzi mkuu. Mikoa iliyoko kanda ya ziwa ni makabila tofauti yenye misimamo, mila na desturi tofauti kabisa. Msilazimishe upumbavu wenu kutumia jina kanda ya ziwa. Semeni nyie washamba wasukuma mlioonja upendeleo. Huo ubaguzi na upendeleo haupo tena umeshakufa na yule mshamba wenu Magu.
wenzake kina Malecela, Msuya, Warioba waliendelea kuwa wabunge baada ya U-PM, kwani yeye ana tofauti gani special?Kama umesoma vizuri, naona sio vema kuwa Mbunge, PM then baada ya uchaguzi awe mbunge wa kawaida, au waziri wa kawaida haifai hata kidogo!!
Punguza povu wewe mwanamke!!! Uwe na heshima kwa wanaume 🤣🤣we bwege inaonekana umelipwa kumpigia debe, akapumzike hakuna la maana amefanya miaka yote 10. Ni dhaifu ndiyo maaana kawekewa naibu. Uwe unaona aibu.
Kwa wakati ule , ila nyakati za sasa haifai, haipendeziwenzake kina Malecela, Msuya, Warioba waliendelea kuwa wabunge baada ya U-PM, kwani yeye ana tofauti gani special?
Naona umeshindwa hoja unakuja na matusi.Najaribu kukukumbushia we ngedere wa Majaliwa. We bora shahawa ingemwagwa nje. Jinga hujui maisha yako unahangaika na mtu amekuwa PM miaka 10? Hopeless kabisa
Bado sitakujibu kwa matusi mods watakushughulikia 🤣🤣🤔🤣🙏🙏 aksante sana kwa matusi ndo chakula changu 🤣🤣🤣 karibu Tena kwa matusi zaidi 🤣🤣🤣we shoga la Majaliwa mi ni dume ila sihitaji mavi yako