Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
- Thread starter
- #181
🤔🤔🤔Suali Waziri mkuu yupi aliye wahi kuwa makamo wa Raisi tangu wakati wa Nyerere?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤔🤔🤔Suali Waziri mkuu yupi aliye wahi kuwa makamo wa Raisi tangu wakati wa Nyerere?
Narudia ku refer term mbili sio sawa, term mbili zinahusu Rais.Kwani wengine hamna mpaka aendelee yeye? After all Majaliwa ni mwanasiasa kwa maana kwamba anakngea uongo uongo
Pamoja sister angu🤣🤣🤣 Mjinga wewe...
Pamoja na kuweka"........." Bado kauli Yako ina mwelekeo wa kuigwa nchi Kwa kutumia ukanda,. Je, ukanda? Hizo ni sera ya Chadema. CCM hawana ukanda. Pili na mbaya zaidi," Udini" Je, viongozi wa serikali huteuliwa Kwa kuangalia udini? Viongozi wa serikali hupatikana kutokana na merits si Kwa sababu ya udini.Soma vizuri andiko, Kisha ulielewe sio kuokota neno moja neno Mjomba nimeliwekea ".............." kama unaelewa stadi za uandishi utaelewa nachomaanisha!!
Ukanda na Dini ni vigezo ambavyo havisemwinwazi, huwezi weka wakristu tupu au waslamu tupu kwenye TOP LAYER ya uongozi wa juu, haitakiwi.
Pili kanda kama Kuna maslahi ya chama au nchi, kanda ukanda lazima utumike
Bado wewe ni kichwa ngumu kuelewa, Dini lazima itumike na inatumika kubalance! Japo hakuna atakaye tamka wazi.Pamoja na kuweka"........." Bado kauli Yako ina mwelekeo wa kuigwa nchi Kwa kutumia ukanda,. Je, ukanda? Hizo ni sera ya Chadema. CCM hawana ukanda. Pili na mbaya zaidi," Udini" Je, viongozi wa serikali huteuliwa Kwa kuangalia udini? Viongozi wa serikali hupatikana kutokana na merits si Kwa sababu ya udini.
Haya Mr critical thinking man. Nadhani tunataka kutambika na udini wako. Baba wa Taifa Hayati J.K Nyerere alishasema udini hauna tija katika uongozi wa nchi maana serikali yetu ya Jamhuri Haina dini lakini wewe unakazania hilo jambo.Bado wewe ni kichwa ngumu kuelewa, Dini lazima itumike na inatumika kubalance! Japo hakuna atakaye tamka wazi.
Kanda inatumika hasa kanda ya ziwa Ina voter's wengi, ndo maana ya PACHA kuwa naibu, ni lengo la kiteka kanda bya ziwa,
Na hilo wanaliewa watu wenye critical mind.
Watu ambao ni waulewa wa kawaida hawana uwezo wa ku digest concrete ideas!!
Haya Mr critical thinking man. Nadhani tunataka kutambika na udini wako. Baba wa Taifa Hayati J.K Nyerere alishasema udini hauna tija katika uongozi wa nchi maana serikali yetu ya Jamhuri Haina dini lakini wewe unakazania hilo jambo.