Pre GE2025 Ushauri kwa Kassimu Majaliwa: Mjomba kesho yako imevurugwa kwa Makusudi, fuata nyazo za Dkt. Mpango Philip

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani wengine hamna mpaka aendelee yeye? After all Majaliwa ni mwanasiasa kwa maana kwamba anakngea uongo uongo
Narudia ku refer term mbili sio sawa, term mbili zinahusu Rais.

Lakini Uzi wangu pamoja na yote nilishauri sio vizuri Kugombea akawe mbunge wa kawaida bungeni.
 
Soma vizuri andiko, Kisha ulielewe sio kuokota neno moja neno Mjomba nimeliwekea ".............." kama unaelewa stadi za uandishi utaelewa nachomaanisha!!

Ukanda na Dini ni vigezo ambavyo havisemwinwazi, huwezi weka wakristu tupu au waslamu tupu kwenye TOP LAYER ya uongozi wa juu, haitakiwi.

Pili kanda kama Kuna maslahi ya chama au nchi, kanda ukanda lazima utumike
Pamoja na kuweka"........." Bado kauli Yako ina mwelekeo wa kuigwa nchi Kwa kutumia ukanda,. Je, ukanda? Hizo ni sera ya Chadema. CCM hawana ukanda. Pili na mbaya zaidi," Udini" Je, viongozi wa serikali huteuliwa Kwa kuangalia udini? Viongozi wa serikali hupatikana kutokana na merits si Kwa sababu ya udini.
 
Bado wewe ni kichwa ngumu kuelewa, Dini lazima itumike na inatumika kubalance! Japo hakuna atakaye tamka wazi.

Kanda inatumika hasa kanda ya ziwa Ina voter's wengi, ndo maana ya PACHA kuwa naibu, ni lengo la kiteka kanda bya ziwa,
Na hilo wanaliewa watu wenye critical mind.

Watu ambao ni waulewa wa kawaida hawana uwezo wa ku digest concrete ideas!!
 
Haya Mr critical thinking man. Nadhani tunataka kutambika na udini wako. Baba wa Taifa Hayati J.K Nyerere alishasema udini hauna tija katika uongozi wa nchi maana serikali yetu ya Jamhuri Haina dini lakini wewe unakazania hilo jambo.
 
Huelewi, huna nia ya kuelewa, mimi nimevuka level za kubishana, Huwa nacheza na logic & facts,hilo ndilo bwawa la fikra ambalo mimi napenda kuogelea 😅😅🤣😅

Sio eneo lako utakunywa vikombe bure
 
Back
Top Bottom