Pre GE2025 Ushauri kwa Kassimu Majaliwa: Mjomba kesho yako imevurugwa kwa Makusudi, fuata nyazo za Dkt. Mpango Philip

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani Majariwa si kamaliza miaka yake kumi ya kuwa PM kwa anataka tena? yaani iwe 15 mpaka 2030??
Shikamoo ni tamu sana ndugu. Wanasiasa wengi hasa huku kwetu Afrika wanapenda sana Shikamoo. We si umeona Wassira kufurahia kurudi kwenye shikamoo pamoja na umri mkubwa alionao! Mwenzake wa miaka 76 ameomba kustaafu yeye wa miaka 80 amerudi kazini kiroho sasfi kabisa.

Can you imagine this kind of situation?
 
Duuu , mkuu wewe ni mgeni Tanzania??

Yaani huoni lolote la maana??πŸ€”πŸ€”

Hata ule msemo wa " don't over smart your boss" huelewei essence yake??πŸ€”πŸ€”??
Majaliwa ni msimamizi wa shughuli zote za serikali lakini wizi serikalini umetamalaki, matumizi ya hovyo na ufisadi tupu, nchi imejaa vijana wakubet tupu, Simba na Yanga, haoni aibu Tanzania kuagiza ngano, mchele, mafuta, sukari nje n.k?
 
Naona kelele ni nyingi kama vile ma PM wote waliopita walipanda ngazi na kuwa VP. Kahudumu vipindi viwili apumzike kama wenzake akina Sumaye, Pinda, Lowassa
 
Huna kazi ya kufanya mpaka uandike hizi porojo za kipuuzi. Mtu amekuwa waziri mkuu miaka 10 bado unataka sijui awe nano, kwa lipi alilonalo? Watanzania wenye sifa zaidi yake ni wengi sana apumzike. Halafu issue ya kanda ya ziwa ni ya kipuuzi, kwanza hakuna kitu kinaitwa kanda ya ziwa. hakuna utawala wa ukanda nchi hii. PM huteuliwa baada ya uchaguzi mkuu sasa mambo ya kura ya kanda ya ziwa yanahusiana vipi na PM kuteuliwa kutoka hiyo kanda ya kufikirika. Ujinga huo uliletwa na yule mshamba wenu marehemu. Sema wasukuma msijifiche kwenye blanketi ya kanda ya ziwa. wasukuma ni watu wachache sana kulinganisha na watanzania. Hawana impact yoyote kwenye uchaguzi mkuu. Mikoa iliyoko kanda ya ziwa ni makabila tofauti yenye misimamo, mila na desturi tofauti kabisa. Msilazimishe upumbavu wenu kutumia jina kanda ya ziwa. Semeni nyie washamba wasukuma mlioonja upendeleo. Huo ubaguzi na upendeleo haupo tena umeshakufa na yule mshamba wenu Magu.
 
Naona kelele ni nyingi kama vile ma PM wote waliopita walipanda ngazi na kuwa VP. Kahudumu vipindi viwili apumzike kama wenzake akina Sumaye, Pinda, Lowassa
Uko sawasawa ndio maana nimesema " unless mama ana ahadi bisiyo na shaka kumteua Tena...." vinginevyo asigombee
 
Wewe post hii inakupunguzia nini mpaka upige kelele???πŸ€”πŸ€”
we bwege inaonekana umelipwa kumpigia debe, akapumzike hakuna la maana amefanya miaka yote 10. Ni dhaifu ndiyo maaana kawekewa naibu. Uwe unaona aibu.
 
Wewe huna kazi ya kufanya mpaka umekuja kujifanya kujibu kumbe umeleta UHARO???πŸ€£πŸ€£πŸ€”πŸ€”

Katika Uzi hamna sehemu nimetaja Mwanza, wakati wa kampeni linatumika jina la mtu kuhaidiwa nafasi kubwa, ili kanda husika iwe na matumaini na fahari kutoa kiongozi mkubwa.

Naona hukusoma sawasawa, na hukuelewa andiko, huo ni kutoka na upeo wako mdogo wa kuchambua mambo!! Pole sana!!!πŸ€£πŸ€£πŸ€”πŸ€”
 
we bwege inaonekana umelipwa kumpigia debe, akapumzike hakuna la maana amefanya miaka yote 10. Ni dhaifu ndiyo maaana kawekewa naibu. Uwe unaona aibu.
Punguza povu wewe mwanamke!!! Uwe na heshima kwa wanaume 🀣🀣
 
Najaribu kukukumbushia we ngedere wa Majaliwa. We bora shahawa ingemwagwa nje. Jinga hujui maisha yako unahangaika na mtu amekuwa PM miaka 10? Hopeless kabisa
Naona umeshindwa hoja unakuja na matusi.
MODS waafanya kama utaratibu ulivyo kwa mtu anayetoa lugha ya Matusi na fedheha.
Binafsi nimekusamehe! Sheria za jukwaa zita prevail!!

Ukiwa huna hoja, huelewei mambo bora kukaa kimyaa, kuliko kuleta "USHUUZI"🀣🀣🀣
 
mkuu kwani huijui katiba ya nchi..inatamka vipindi vya uongozi ni awamu mbili tu za miaka mitano mitano..ina maama hata ww hujui majaliwa ameanza kuwa PM lini si tangu 2015 alianza na JPM hadi sasa ni miaka 10 inatimia hivyo anastaafu kwa mujibu wa katiba baada ya vipindi viwili vya uwaziri mkuu..sasa ni vp ww useme eti anapigwa chini mara ooh hatakiwi..au mwezetu PM majaliwa umemjua wakati huu wa samia wakati yupo kwenye u PM ni miaka 10 sasa..amka usingizini ww
 
we shoga la Majaliwa mi ni dume ila sihitaji mavi yako
Bado sitakujibu kwa matusi mods watakushughulikia πŸ€£πŸ€£πŸ€”πŸ€£πŸ™πŸ™ aksante sana kwa matusi ndo chakula changu 🀣🀣🀣 karibu Tena kwa matusi zaidi 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…