Ushauri kwa kijana mwenzetu

Ushauri kwa kijana mwenzetu

ageism na sexism ndio iliyowatawala kati yenu wote mliopinga huyu dada asiolewe na huyo kaka...
ni aina fulani ya ubaguzi wa kijinga hivi,
ukute mliopinga mnaona sawa kwa mwanaume wa miaka 50 kuoa kibinti cha miaka 25,
ila kwa mwanamke wa 29 kuolewa na mtu wa miaka 29 mnaona kasoro...hovyo!
sijaona valid reasons as to why huyo dada asiolewe na huyo kaka zaidi ya kuwaonyesha jinsi mlivyo evil :mad2::mad2::mad2::mad2:
 
ngoja niguess kuna MS na kuna mwenzie da womanizer...haya jitaje!:frusty::A S 39:

MS ni nini?? MicroSoft au? Hivi mnaongelea kitu gani..........na huyo da womanizer ana nini humu kwani maana siwaelewi?????
 
ageism na sexism ndio iliyowatawala kati yenu wote mliopinga huyu dada asiolewe na huyo kaka...
ni aina fulani ya ubaguzi wa kijinga hivi,
ukute mliopinga mnaona sawa kwa mwanaume wa miaka 50 kuoa kibinti cha miaka 25,
ila kwa mwanamke wa 29 kuolewa na mtu wa miaka 29 mnaona kasoro...hovyo!
sijaona valid reasons as to why huyo dada asiolewe na huyo kaka zaidi ya kuwaonyesha jinsi mlivyo evil :mad2::mad2::mad2::mad2:
:amen::amen::amen:
 
ageism na sexism ndio iliyowatawala kati yenu wote mliopinga huyu dada asiolewe na huyo kaka...
ni aina fulani ya ubaguzi wa kijinga hivi,
ukute mliopinga mnaona sawa kwa mwanaume wa miaka 50 kuoa kibinti cha miaka 25,
ila kwa mwanamke wa 29 kuolewa na mtu wa miaka 29 mnaona kasoro
...hovyo!
sijaona valid reasons as to why huyo dada asiolewe na huyo kaka zaidi ya kuwaonyesha jinsi mlivyo evil :mad2::mad2::mad2::mad2:

Hapo kwenye red, panaonesha kuwa huna uvumilivu wa hoja ambazo huzipendi. Kijana kaomba ushauri na watu wamempatia. Kama unapingana nao, na wewe unatoa point zako. Badala yake umemwaga matusi. Sikutegemea kuwa siku moja ungeweza kupotoka kiasi hicho. Hakuna mwenye maslahi kwenye hii topic, kwamba labda tunataka amuache ili sisi tuchukue nafasi. Naomba uheshimi maoni yetu bila kututukana kama vile tunavyoheshimu ya kwako.

Kwenye blue,... hilo ni suala la bahati mbaya kwamba jamii zetu zinaona kitu kama hicho ni sawa. Hata hivyo naamini tupo wengi ambao tunaona kuwa siyo sawa. Tafadhali soma maoni na jibu hoja badala ya kujaza upepo na kumwaga matusi.
 
ageism na sexism ndio iliyowatawala kati yenu wote mliopinga huyu dada asiolewe na huyo kaka...
ni aina fulani ya ubaguzi wa kijinga hivi:

Roselyne1,

Nadhani wengi 'tunapinga' huyo kaka kuoa huyo dada! Mada hii imeletwa hapa kwa sababu mletaji anaamini kuna 'issue' otherwise thread ingepoteza maana yake.

Suala la umri lipo tu na sidhani kama ni ubaguzi kwa maana hiyo...labda tunatofautiana kiwango tu cha tofauti gani ya umri ni acceptable! Kwa mfano kama mdogo wako wa kiume wa miaka 29 anakujia kukuomba ushauri anataka kuoa mwanamke wa miaka 60 ni kweli utafumbia macho ishu ya umri?

Naamini tunaweza kujadiliana bila ulazima wa kutumia lugha kali hata kama tunatofautiana hoja, mitizamo, ufahamu nk.

SMU
 
Hapo kwenye red, panaonesha kuwa huna uvumilivu wa hoja ambazo huzipendi. Kijana kaomba ushauri na watu wamempatia. Kama unapingana nao, na wewe unatoa point zako. Badala yake umemwaga matusi. Sikutegemea kuwa siku moja ungeweza kupotoka kiasi hicho. Hakuna mwenye maslahi kwenye hii topic, kwamba labda tunataka amuache ili sisi tuchukue nafasi. Naomba uheshimi maoni yetu bila kututukana kama vile tunavyoheshimu ya kwako.

Kwenye blue,... hilo ni suala la bahati mbaya kwamba jamii zetu zinaona kitu kama hicho ni sawa. Hata hivyo naamini tupo wengi ambao tunaona kuwa siyo sawa. Tafadhali soma maoni na jibu hoja badala ya kujaza upepo na kumwaga matusi.

wewe nawe usitake kuremba hapa...
ungekuwa unaheshimu maoni yangu as you put it usingesema najaza upepo hapa...msonyoooooooooooooooooo!:mad2::mad2:
sipendagi wanafiki kama wewe,umeshindwa kujibu hoja yangu tafadhali songa mbele!...
eti unajifanya unaona haiko sawa na wakati umemsapoti SMU pale juu kuwa swala la kijana kumuoa binti wa miaka 29 sawa naye ni wrong au unadhania hatuoni hapa?:mad2:
mwisho koma kunibeza sina heshima kwa wanafiki kama wewe ambao matusi mnaona wenzenu wakitusi tu ila nyie mkitusi mnaona ni sawa...
MARUFUKU KUNIQUOTE NA WALA SITAQUOTE UPUPU WAKO......better we stay that way..!:mad2:
 
Ahsante sana. Nayaheshimu maoni yako. Ni mawazo na mtazamo wako! Mungu akubariki.
 
Roselyne1,

Nadhani wengi 'tunapinga' huyo kaka kuoa huyo dada! Mada hii imeletwa hapa kwa sababu mletaji anaamini kuna 'issue' otherwise thread ingepoteza maana yake.

Suala la umri lipo tu na sidhani kama ni ubaguzi kwa maana hiyo...labda tunatofautiana kiwango tu cha tofauti gani ya umri ni acceptable! Kwa mfano kama mdogo wako wa kiume wa miaka 29 anakujia kukuomba ushauri anataka kuoa mwanamke wa miaka 60 ni kweli utafumbia macho ishu ya umri?

Naamini tunaweza kujadiliana bila ulazima wa kutumia lugha kali hata kama tunatofautiana hoja, mitizamo, ufahamu nk.

SMU

mie ningefumbia macho hilo swala la umri...
sababu nimeona MABINTI wakiolewa with men twice their age...
why lionekane wrong when it is opposite,yaani when it involves vijana with older women?????
yes huu ni ubaguzi...!!
anyway mleta mada kasema huyo dada ana miaka 29 na sio 35,45 wala 60....
mna sababu zozote za kuleta 'umri' kama kikwazo katika hii mada???:frusty:
 
mie ningefumbia macho hilo swala la umri...

Good, atleast unakubali kuwa ungelifumbia macho na sio kwamba halipo!

anyway mleta mada kasema huyo dada ana miaka 29 na sio 35,45 wala 60....

I know. Huo mfano wangu hapo juu wa miaka 60 nilikuwa najaribu kuonesha tu acceptance ('ubaguzi')ni continuum tu baina ya watu. Nimeeleza pia suala sio umri wa dada peke yake bali ni umri wake ukilinganisha na ule wa kaka, nimetoa mfano kama ningekua mimi mwenye miaka 40 (for argument sake!) ndio naoa, huyo dada bado ni mbichi tu kwangu.

Soma mchango wangu wa kwanza kabisa kwenye hii mada, nimeongelea suala la umri kama moja wapo ya vitu ambavyo kijana anapaswa kuvizingatia. Mwisho wa siku ni yeye ndio anayeoa na yeye kama akiridhika na anaona umri sio zaidi ya namba then hamna cha kumzuia!
 
Wakina dada siku hizi wana issues nyingi na kubwa kuliko hiyo, hio ni cha mtoto,
Nadhani amepata muda wa kutafakari.
Ni kweli mama kaonyehsa ukomavu, ila anajiandaa na kuusikilizia uchungu wa mwanae. Kwani mwanamke mwenye experience zaidi, kwa wanaume (WENGI) huwa ni challenge.
Ajiandae kuwa compard to the first guy, ajiandae kuwa na maswali mengi yasiyo na majibu, ila kila kitu kinawezekana, na siku hizi majority ya kina dada wana issues ngumu kuliko ya kuwa na marehemu mume wa kwanza.
Ila tu, ajue kama dada alipata bahati ya kuwa na maisha mazuri ya ndoa ataingia kwenye ndoa mpya akiwa na positive attitude. Kama alikuwa anavumilia basi ataingia akiwa mguu moja nje mmoja ndani, na hio ni mchosho sana.
I wish them all the luck.
 
kuna dada mmoja namjua kiasi, so cute and gentle, beautiful and charming, ana heshima sana alifiwa na mumewe kwa ajali ila ndoa nadhani ilikuwa bado, walikuwa na mtoto mchanga, it was so sad!!! tena mwezi wa ramadhani kama sasa!
jamani yule dada anatakiwa asiache kuolewa, ni family loving person.
 
wewe nawe usitake kuremba hapa...
ungekuwa unaheshimu maoni yangu as you put it usingesema najaza upepo hapa...msonyoooooooooooooooooo!:mad2::mad2:
sipendagi wanafiki kama wewe,umeshindwa kujibu hoja yangu tafadhali songa mbele!...
eti unajifanya unaona haiko sawa na wakati umemsapoti SMU pale juu kuwa swala la kijana kumuoa binti wa miaka 29 sawa naye ni wrong au unadhania hatuoni hapa?:mad2:
mwisho koma kunibeza sina heshima kwa wanafiki kama wewe ambao matusi mnaona wenzenu wakitusi tu ila nyie mkitusi mnaona ni sawa...
MARUFUKU KUNIQUOTE NA WALA SITAQUOTE UPUPU WAKO......better we stay that way..!:mad2:
Hapa naona kuna mtu kachokoza nyuki aseee.....................:shocked:
 
Good, atleast unakubali kuwa ungelifumbia macho na sio kwamba halipo!

I know. Huo mfano wangu hapo juu wa miaka 60 nilikuwa najaribu kuonesha tu acceptance ('ubaguzi')ni continuum tu baina ya watu. Nimeeleza pia suala sio umri wa dada peke yake bali ni umri wake ukilinganisha na ule wa kaka, nimetoa mfano kama ningekua mimi mwenye miaka 40 (for argument sake!) ndio naoa, huyo dada bado ni mbichi tu kwangu.

Soma mchango wangu wa kwanza kabisa kwenye hii mada, nimeongelea suala la umri kama moja wapo ya vitu ambavyo kijana anapaswa kuvizingatia. Mwisho wa siku ni yeye ndio anayeoa na yeye kama akiridhika na anaona umri sio zaidi ya namba then hamna cha kumzuia!
I couldn't have put it better.
 
obviously hajaona umri kama ni kigezo...
nadhani huyu dada bado amekuwa treated unfairly humu
whats wrong with umri wake compared na huyo kijana???
mbona watu kibao wanaoana wakiwa na rika moja??
au ni new trend lazima mwanaume awe amekuzidi umri..???
suala la ubichi nadhani umesoma michango ya watu humu....kuna watu kibao ni wadogo kiumri,ila wameshatumika vya kutosha...
kigezo cha yeye kuwa 29,hivyo sio mbichi...ni kumdiscriminate her on the grounds of her age...ageism!....

na pia,kwa nini suala la ubichi liwe la upande mmoja tu?
kwa nini always liwe kwa mwanaume na msichana mbichi,na sio mwanamke na mwanaume mbichi...
i mean kwa nini umetolea mfano wa wewe kuwa 40 na msichana kuwa 29 kuwa 'sawa' na SIO wewe kuwa 29 na mwanamke kuwa 40?
tuache kuwa wabaguzi...:mad2:😛layball:
 
Roselyne1,

Nadhani wengi 'tunapinga' huyo kaka kuoa huyo dada! Mada hii imeletwa hapa kwa sababu mletaji anaamini kuna 'issue' otherwise thread ingepoteza maana yake.

Suala la umri lipo tu na sidhani kama ni ubaguzi kwa maana hiyo...labda tunatofautiana kiwango tu cha tofauti gani ya umri ni acceptable! Kwa mfano kama mdogo wako wa kiume wa miaka 29 anakujia kukuomba ushauri anataka kuoa mwanamke wa miaka 60 ni kweli utafumbia macho ishu ya umri?

Naamini tunaweza kujadiliana bila ulazima wa kutumia lugha kali hata kama tunatofautiana hoja, mitizamo, ufahamu nk.

SMU

Everything has its beauty, but not everyone sees it.
-Confucius (Kung Fu Tzu 551-479 B.C)
 
tofauti ya kuwa kwenye ndoa na mahusiano ni nini? wote wana-doo, wengine tayari wana watoto kabla ya ndoa na wengine wanaishi pamoja!..kama kijana kampenda huyo mdada anaweza kumuoa kabisa, maisha ni adventure na ufurahie moyo wako unavyotaka! kama mtu hawezi kuoa/olewa na mtu aliyekuwa mwanandoa tayari,wengine tunaweza...no one is perfect!!

kuzaa kwa mwanamke isiwe kisingizio, kwani wanaume wangapi wana watoto wa mazoezi na wanaoa!!..pia ndoa haina formula, kama imekutokea vibaya kwa mwingine inaweza kuwa tofauti na ubaya mwingine!!!..
 
:A S-heart-2::thumb: ...yaani, imenibidi niweke kikombe cha uji pembeni!
safi sana.
 
Back
Top Bottom