And who is "WE" exactly? Are you ok T??
ngoja niguess kuna MS na kuna mwenzie da womanizer...haya jitaje!:frusty::A S 39:
:amen::amen::amen:ageism na sexism ndio iliyowatawala kati yenu wote mliopinga huyu dada asiolewe na huyo kaka...
ni aina fulani ya ubaguzi wa kijinga hivi,
ukute mliopinga mnaona sawa kwa mwanaume wa miaka 50 kuoa kibinti cha miaka 25,
ila kwa mwanamke wa 29 kuolewa na mtu wa miaka 29 mnaona kasoro...hovyo!
sijaona valid reasons as to why huyo dada asiolewe na huyo kaka zaidi ya kuwaonyesha jinsi mlivyo evil :mad2::mad2::mad2::mad2:
ageism na sexism ndio iliyowatawala kati yenu wote mliopinga huyu dada asiolewe na huyo kaka...

ni aina fulani ya ubaguzi wa kijinga hivi:
Hapo kwenye red, panaonesha kuwa huna uvumilivu wa hoja ambazo huzipendi. Kijana kaomba ushauri na watu wamempatia. Kama unapingana nao, na wewe unatoa point zako. Badala yake umemwaga matusi. Sikutegemea kuwa siku moja ungeweza kupotoka kiasi hicho. Hakuna mwenye maslahi kwenye hii topic, kwamba labda tunataka amuache ili sisi tuchukue nafasi. Naomba uheshimi maoni yetu bila kututukana kama vile tunavyoheshimu ya kwako.
Kwenye blue,... hilo ni suala la bahati mbaya kwamba jamii zetu zinaona kitu kama hicho ni sawa. Hata hivyo naamini tupo wengi ambao tunaona kuwa siyo sawa. Tafadhali soma maoni na jibu hoja badala ya kujaza upepo na kumwaga matusi.
wewe nawe usitake kuremba hapa...
ungekuwa unaheshimu maoni yangu as you put it usingesema najaza upepo hapa...msonyoooooooooooooooooo!:mad2::mad2:
sipendagi wanafiki kama wewe,umeshindwa kujibu hoja yangu tafadhali songa mbele!...
eti unajifanya unaona haiko sawa na wakati umemsapoti SMU pale juu kuwa swala la kijana kumuoa binti wa miaka 29 sawa naye ni wrong au unadhania hatuoni hapa?:mad2:
mwisho koma kunibeza sina heshima kwa wanafiki kama wewe ambao matusi mnaona wenzenu wakitusi tu ila nyie mkitusi mnaona ni sawa...
MARUFUKU KUNIQUOTE NA WALA SITAQUOTE UPUPU WAKO......better we stay that way..!:mad2:
Roselyne1,
Nadhani wengi 'tunapinga' huyo kaka kuoa huyo dada! Mada hii imeletwa hapa kwa sababu mletaji anaamini kuna 'issue' otherwise thread ingepoteza maana yake.
Suala la umri lipo tu na sidhani kama ni ubaguzi kwa maana hiyo...labda tunatofautiana kiwango tu cha tofauti gani ya umri ni acceptable! Kwa mfano kama mdogo wako wa kiume wa miaka 29 anakujia kukuomba ushauri anataka kuoa mwanamke wa miaka 60 ni kweli utafumbia macho ishu ya umri?
Naamini tunaweza kujadiliana bila ulazima wa kutumia lugha kali hata kama tunatofautiana hoja, mitizamo, ufahamu nk.
SMU
mie ningefumbia macho hilo swala la umri...
anyway mleta mada kasema huyo dada ana miaka 29 na sio 35,45 wala 60....
Hapa naona kuna mtu kachokoza nyuki aseee.....................:shocked:wewe nawe usitake kuremba hapa...
ungekuwa unaheshimu maoni yangu as you put it usingesema najaza upepo hapa...msonyoooooooooooooooooo!:mad2::mad2:
sipendagi wanafiki kama wewe,umeshindwa kujibu hoja yangu tafadhali songa mbele!...
eti unajifanya unaona haiko sawa na wakati umemsapoti SMU pale juu kuwa swala la kijana kumuoa binti wa miaka 29 sawa naye ni wrong au unadhania hatuoni hapa?:mad2:
mwisho koma kunibeza sina heshima kwa wanafiki kama wewe ambao matusi mnaona wenzenu wakitusi tu ila nyie mkitusi mnaona ni sawa...
MARUFUKU KUNIQUOTE NA WALA SITAQUOTE UPUPU WAKO......better we stay that way..!:mad2:
I couldn't have put it better.Good, atleast unakubali kuwa ungelifumbia macho na sio kwamba halipo!
I know. Huo mfano wangu hapo juu wa miaka 60 nilikuwa najaribu kuonesha tu acceptance ('ubaguzi')ni continuum tu baina ya watu. Nimeeleza pia suala sio umri wa dada peke yake bali ni umri wake ukilinganisha na ule wa kaka, nimetoa mfano kama ningekua mimi mwenye miaka 40 (for argument sake!) ndio naoa, huyo dada bado ni mbichi tu kwangu.
Soma mchango wangu wa kwanza kabisa kwenye hii mada, nimeongelea suala la umri kama moja wapo ya vitu ambavyo kijana anapaswa kuvizingatia. Mwisho wa siku ni yeye ndio anayeoa na yeye kama akiridhika na anaona umri sio zaidi ya namba then hamna cha kumzuia!
Hapa naona kuna mtu kachokoza nyuki aseee.....................:shocked:
kaka/dada ume register leo lakini speed uliyonayo siyo mchezo....
Good, atleast unakubali kuwa ungelifumbia macho na sio kwamba halipo!
I know. Huo mfano wangu hapo juu wa miaka 60 nilikuwa najaribu kuonesha tu acceptance ('ubaguzi')ni continuum tu baina ya watu. Nimeeleza pia suala sio umri wa dada peke yake bali ni umri wake ukilinganisha na ule wa kaka, nimetoa mfano kama ningekua mimi mwenye miaka 40 (for argument sake!) ndio naoa, huyo dada bado ni mbichi tu kwangu.
Soma mchango wangu wa kwanza kabisa kwenye hii mada, nimeongelea suala la umri kama moja wapo ya vitu ambavyo kijana anapaswa kuvizingatia. Mwisho wa siku ni yeye ndio anayeoa na yeye kama akiridhika na anaona umri sio zaidi ya namba then hamna cha kumzuia!
Roselyne1,
Nadhani wengi 'tunapinga' huyo kaka kuoa huyo dada! Mada hii imeletwa hapa kwa sababu mletaji anaamini kuna 'issue' otherwise thread ingepoteza maana yake.
Suala la umri lipo tu na sidhani kama ni ubaguzi kwa maana hiyo...labda tunatofautiana kiwango tu cha tofauti gani ya umri ni acceptable! Kwa mfano kama mdogo wako wa kiume wa miaka 29 anakujia kukuomba ushauri anataka kuoa mwanamke wa miaka 60 ni kweli utafumbia macho ishu ya umri?
Naamini tunaweza kujadiliana bila ulazima wa kutumia lugha kali hata kama tunatofautiana hoja, mitizamo, ufahamu nk.
SMU
tofauti ya kuwa kwenye ndoa na mahusiano ni nini? wote wana-doo, wengine tayari wana watoto kabla ya ndoa na wengine wanaishi pamoja!..kama kijana kampenda huyo mdada anaweza kumuoa kabisa, maisha ni adventure na ufurahie moyo wako unavyotaka! kama mtu hawezi kuoa/olewa na mtu aliyekuwa mwanandoa tayari,wengine tunaweza...no one is perfect!!
kuzaa kwa mwanamke isiwe kisingizio, kwani wanaume wangapi wana watoto wa mazoezi na wanaoa!!..pia ndoa haina formula, kama imekutokea vibaya kwa mwingine inaweza kuwa tofauti na ubaya mwingine!!!..