trojan92 Member Joined May 18, 2024 Posts 91 Reaction score 276 Aug 25, 2024 #1 Leo tuifanye hii thread iwe ya moto. Ni ushauri upi wa muhimu unao mpa kijana wa kitanzania siku ya leo ili aweze kuyabili maisha vema?
Leo tuifanye hii thread iwe ya moto. Ni ushauri upi wa muhimu unao mpa kijana wa kitanzania siku ya leo ili aweze kuyabili maisha vema?
Mtalii mweusi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2014 Posts 227 Reaction score 357 Sep 1, 2024 #2 Kijana usiogope hakuna kisichowezekana hapa duniani, fanya.