Ushauri Kwa Mabinti: Kwa Kadri Unavyokuwa Hard To Get, Ndivyo Unavyozidi Kupendwa, Kuthaminiwa!, Ukiwa Easy Come, Easy Go!

Ushauri Kwa Mabinti: Kwa Kadri Unavyokuwa Hard To Get, Ndivyo Unavyozidi Kupendwa, Kuthaminiwa!, Ukiwa Easy Come, Easy Go!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wana MMU,

Kwa huku, sasa napenda mniite Babu P. maana nimo humu huu ni mwaka wa 20 ila jukwaa langu rasmi ni Jukwaa la Siasa, ila kadri unavyokuwa babu babu, busasara zinaongezeka, sipendi kuona dada zetu mnatoa kiurahisi rahisi, mnamegwa na kuachwa, na kuna jambo fulani la kisiasa limetokea Tanzania, kuna watu wanatufanyia michezo kama ya mabinti, hivyo wakati nikiwaza, mawazo yakanileta huku hivyo nikaona nianze na kutoa ushauri huu kwa mabinti wadogo, kisha kule kwenye jukwaa la siasa, nitamshauri kitu yule Binti yetu Mkubwa!.

WaTizii, Tusikubali kudharauliwa na matajiri kwa jeuri ya pesa zao ili kujenga keshima, Je tuwe masikini jeuri kuwakatalia, kama enzi za Nyerere au?​

Kuna vitu vizuri sana vya mila za Kiafrika na makabila yetu vinavyofundishwa kwa mabinti zetu. Mila zote, jamii zote, makabila yote ya kiafrika, na dini zote, zinakataza lile jambo kufanyika kabla ya ndoa.

Hivyo mabinti wanafundishwa kujitunza, kuwa wagumu, wakatae vishawishi, wagome, na kubania, mpaka siku ya ndoa. Na ilikuwa binti akikuwa tuu, akivunja... na kuanza kupata zile, kimila na kiasili, anafungiwa ndani, anakuwa protected na anafundwa, anachezwa ngoma, na kufundishwa mambo ya kiutu uzima. Anatawa kuitunza ile heshima yake mpaka mchumba atokee. Na mchumba akitokea, ndipo binti anatolewa nje kwa sherehe, anaolewa, tena shamra shamra zilikuwa ni mpaka mume wake awe ndie mtu wake wa kwanza, kwa kuikuta ile kitu iko sealed, yeye ndiye anakuwa the first! hivyo binti anamwaga mapenzi yake yote kwa mumewe. Ndio maana ndoa za bibi zetu zilidumu hadi kufa na kuzikana.

Lakini sasa, kwa kadri maisha yanavyoboreka na kuwa ya kisasa, mabinti wengine wanaanza kupata szao mapema wakiwa primary, waje wasome miaka 4 ya sekondari, miaka 2 ya A level, na miaka 3 ya chuo, hivyo mtu kukaa miaka 9 huku ameitunza, ni mitihani!, as a results, wengi huingia majaribuni na kuachia!, hivyo waoaji wengi wa ndoa za kisasa, kabla ya kununua gari, wanataka kwanza wafanye test drive, kuipima mashine!, matokeo yake ni mtu kujikuta wewe kwa mkeo sii wa kwanza, hivyo there are chances wala hautakuwa wa mwisho!.

Nimeona niwape somo hili mabinti zetu ili kuwasaidia kujilinda na kujithaminisha zaidi katika mahusiano yao.
nawashauri mabinti mtu akikutokea, kwa kadri unavyokuwa mgumu kupatikana, au kukubali, "Hard To Get", ndivyo unavyozidi kumhamasisha huyo jamaa kukuhitaji zaidi na zaidi, na kukupenda zaidi, kuwa na hamu na shauku zaidi ya kukupata, na siku akifanikiwa, atajiona mshindi na atakuthamini zaidi, na kukuheshimu sana. Hivyo mtu akikutokea, hata kama na wewe unampenda sana, usimkubalie hapo hapo kirahisi ile siku ya kwanza, mzungushe, msumbue, mkatalie, mpime, kama anakupenda kweli kwa dhadhi atakuhangaikia, lakini kama lengo ni kukupitia tuu, ukimsumbua, atatafuta mwingine, bora umkose kuliko kumkubalia mpita njia, anakupitia na kuendelea na safari yake.

Kufuatia siku hizi, wanaume wa kweli, husband material kuwa ni adimu wa kutafuta kwa tochi, kama ilivyo kwa wife material, hali hii inapelekea baadhi ya mabinti kujirahisi, mtu akimtokea tuu, first date, unajiachia na kumpa kila kitu!, hivyo unakuwa ni" Easy Come, Easy Go", kwa kadri alivyo kupata kirahisi, ukigusa tuu twende!, vivyo hivyo ndivyo utakavyoachwa kirahisi na hata kuthamini sana, na hata lile embe dodo la kuokota chini ya mti wa muembe, ambalo limeanguka lenyewe, sio tamu kama lile embe la kulihangaikia kulichuma mwenyewe. Hivyo mabinti wetu msijirahisi sana kirahisi rahisi!.

Kuna baadhi ya wanaume matajiri wenye pesa, wanatumia jeuri ya pesa kuleta dharau sana!, kwa vile wanajua wanawake wana penda pesa, hivyo huitumia gia ya pesa, na kuitumia pesa kama fimbo ya kuwachapia mabinti wenye tamaa na wapenda pesa, hivyo mtu akikutokea na kukuonyeshea jeuri ya pesa, mkatalie kupokea pesa zake au kutumia pesa zake na akilazimisha, pesa pokea lakini ... usitoe, mpaka uwe tayari.

Namna pekee ya kumpima mtu anayekupenda kwa dhati, ni kuusikilizia moyo na sio kuangalia pesa!.Kitendo cha wewe mdada kupokea pesa na kukubali hapo hapo, huyu mwanaume atakudharau na kujiona ni umemkubalia kwasababu ya fedha zake, hivyo hata ukimpa, hatakuthamini, atajiona ni kama tuu amelipia kama zile bidhaa zinazojiuza mabarabarani hivyo mgoomeni!.

Hivyo wadada zetu msiwe easy go, wala msitoe toe sana mnachakaa, be hard to get, utapendwa zaidi, utaheshimiwa na zaidi na utathaminiwa zaidi, lakini zaidi ya yote, ngoma inayopigwa pigwa sana, inaregea, jitunzeni mtakuwa supper hata kwenye yale...

Babu P.

Rejea za Babu P kwenye haya maeneo ,
 
Asante sana mkuu Pascal Mayalla

Niongezee, Mwanamke anaweza kupandisha thamani na hadhi yake kwa-
  1. Kumcha Mungu / kuwa na hofu ya Mungu.
  2. Kujiheshimu na kutambua thamani yake.
  3. Kuheshimu wengine bila kujishusha.
  4. Kuwa na misimamo na utu wake ambao hauwezi kununuliwa kwa pesa, mali wala ahadi.
Mwanaume akiweza kumyumbisha mdada kwa vitu, hamuamini tena kwa sababu anajua akija mwenye vitu zaidi yake, ameenda. Vitu vinaweza kuzidiwa, lakini utu na msimamo vina thamani kubwa zaidi
 
Wana MMU,

Kwa huku, napenda mniite Babu Pii, jukwaa langu ni la siasa, kuna jambo la kisiasa limetokea Tanzania, hivyo wakati nikiwaza, mawazo yakanileta huku hivyo nikaona nianze na kutoa ushauri huu kwa mabinti wadogo, kisha kule kwenye jukwaa la siasa, nitamshauri kitu Binti Mkubwa.

Kuna vitu vizuri sana vya mila za Kiafrika na makabila yetu vinavyofundishwa kwa mabinti zetu. Mila zote, jamii zote, makabila yote ya kiafrika, na dini zote, zinakataza lile jambo kabla ya ndoa.

Hivyo mabinti wanafundishwa kuwa wagumu, wakatae, wagome, na kubania, mpaka siku ya ndoa. Na ilikuwa binti akikuwa tuu, akivunja... na kuanza kupata, kimili na kiasili, anafungiwa ndani, anakuwa protected na anafundwa, anachezwa ngoma, na kutawa mpaka mchumba atokee. Na mchumba akitokea, anaolewa, ambapo mume wake ndie anakuwa the first, hivyo binti anamwaga mapenzi yake yote kwa mumewe. Ndio maana ndoa za bibi zetu zilidumu hadi kufa na kuzikana.

Lakini sasa, kwa kadri maisha yanavyoboreka na kuwa ya kisasa, mabinti wengine wanaanza kupata szao mapema wakiwa primary, waje wasome miaka 4 ya sekondari, miaka 2 ya A level, na miaka 3 ya chuo, hivyo mtu kukaa miaka 9 ni mitihani as a results, wengi huingia majaribuni na kuachia!, hivyo waoaji wengi wa ndoa za kisasa, kujikuta wewe kwa mkeo sii wa kwanza, hivyo there are chances wala hautakuwa wa mwisho!.

Nimeona niwape somo hili mabinti kuwasaidia kujilinda na kujithaminisha zaidi katika mahusiano yao.
nawashauri mabinti mtu akikutokea, kwa kadri unavyokuwa mgumu kupatikana, au kukubali, "Hard To Get", ndivyo unavyozidi kumhamasisha huyo jamaa kukuhitaji zaidi, kukukupenda zaidi, kuwa na hamu na shauku zaidi ya kukupata, na siku akifanikiwa, atajiona mshindi na atakuthamini zaidi, na kukuheshimu sana. Hivyo mtu akikutokea, hata kama na wewe unampenda sana, usimkubalia hapo hapo kirahisi, msumbue, mkatalie, mpime, kama anakupenda kwa dhadhi atakuhangaikia, lakini kama lengo ni kukupitia tuu, ukimsumbua, atatafuta mwingine.

Kufuatia wanaume husband material ni adimu wa kutafuta kwa tochi, kama ilivyo kwa wife material, hali hii inapelekea baadhi ya mabinti kujirahisi, mtu akimtokea tuu, first date, unachiachia na kumpa kila kitu, hivyo unakuwa ni" Easy Come, Easy Go", kwa kadri alivyo kupata kirahisi, ukigusa tuu twende!, vivyo hivyo ndivyo utakavyoachwa kirahisi na hata kuthamini sana, na hata lile embe dodo la kuokota chini ya mti wa muembe, ambalo limeanguka lenyewe, sio tamu kama lile embe la kulihangaikia kulichuma mwenyewe. Hivyo mabinti wetu msijirahisi sana!.

Wanaume matajiri wenye nyodo za fedha, nana dharau sana!, kwa vile wanajua wanawake wana penda pesa, hivyo huitumia gia ya pesa, na kuitumia pesa kama fimbo ya kuwachapia mabinti wenye tamaa na wapenda pesa, hivyo mtu akikitokea na kukuonyesha jeuri ya pesa, mkatalie kupokea pesa zake au kutumia pesa zake na akilazimisha, pesa pokea laki usitoe, mpaka uwe tayari. Kitendo cha wewe mdoda kupokea pesa na kukubali hapo hapo, huyu mwanaume atakudharau na kujiona ni umemkubalia kwasababu ya fedha zake, hivyo hata ukimpa, hatakuthamini, atajiona ni kama tuu amelipia kama zile bidhaa zinazojiuza mabarabarani hivyo mgoomeni!.

Hivyo wadada zetu msiwe easy go, wala msitoe toe sana mnachakaa, be hard to get, utapendwa zaidi, utaheshimiwa na zaidi na utathaminiwa zaidi, lakini zaidi ya yote, ngoma inayopigwa pigwa sana, inaregea, jitunzeni mtakuwa supper hata kwenye yale...

Babu Pii.
ENyi Mabinti, kuweka kumbukumbu sawa, Huyu Mleta Uzi Hajawahi shinda kesi hata moja.
Ndo mwanasheria mwenye rekodi ya kipekee tangu Tanganyika ipate uhuru...Over.
 
Ndo mwanasheria mwenye rekodi ya kipekee tangu Tanganyika ipate uhuru...Ovr
 
kwa vile wanajua wanawake wana penda pesa, hivyo huitumia gia ya pesa, na kuitumia pesa kama fimbo ya kuwachapia mabinti wenye tamaa na wapenda pesa, hivyo mtu akikitokea na kukuonyesha jeuri ya pesa, mkatalie kupokea pesa zake au kutumia pesa zake
Muasisi wa KITI MOTO akiwashauri akina Kamlete jambo ambalo hawatamuelewa kabisa.
 
Babu Pii huwajui wanaume vizuri wewe kwenye sector ya mapenzi.

Kwanza kikawaida wanaume “wengi” wana akili linapokuja suala ku kudeal na wanawake, ni kama wametuzaa sometimes 😅

Hard to get hai-guarantee thamani ya mwanamke, bali likitokea la kutokea ukafanikiwa kurun bila kunigotiate your worthy ndio muhusika atajua thamani yako, tena in along run sio muda huo, Nadhani akili za wanaume huwa haziko wired kuona madhara/hasara instantly. (I did my little research)
 
Back
Top Bottom