Ushauri Kwa Mabinti: Kwa Kadri Unavyokuwa Hard To Get, Ndivyo Unavyozidi Kupendwa, Kuthaminiwa!, Ukiwa Easy Come, Easy Go!

Ushauri Kwa Mabinti: Kwa Kadri Unavyokuwa Hard To Get, Ndivyo Unavyozidi Kupendwa, Kuthaminiwa!, Ukiwa Easy Come, Easy Go!

Sasa babu Pii JF hakuna ma binti ni mshangazi Tu tumejaa naomba leta ushauri WA sisi mshangazi

NB: it's me Jane uliniungisha nanenane Dodoma
Asante Dada Jane, kwa sisi Wazee wa mwaka 47, wanawake wote ni kwetu ni mabinti mkiongozwa na yule Binti Mkubwa mrembo mwenye macho mazuri. https://www.jamiiforums.com/threads...-yake-ni-ukosefu-wa-heshima-na-adabu.1561468/

Twende kwenye the business part, nimepanga PPR online Shop kwa kutoa matangazo ya biashara za wajasiriamali mwaka mzima, kupitia TBC, sio kusubiri mpaka Saba Saba au Nane Nane tuu, ndio kutangaza , rekodi bidhaa zako kwa simu janja yako kwa tangazo la 60 sec TBC ni just TZS 50,000,
1. Clip 1 ni selfie ya kujitambulisha jina lako , uko wapi na jina la biashara yako
2. Clip 2 unaonyesha bidhaa zako huku unaziongelea.
3. Clip 3 Unasema zinapatikana wapi.
4. Clip 4 unatoa number yako ya simu na WhatsApp
5. Una aga kuwa unawatumia popote. Kisha mimi natoa guarantee yangu, una supply online uuza online, unalipwa online .

Changamkia fursa.

P
 
Tatizo siku hizi waoji wanakaziwa halafu wanaliliwa wapigaji tu, binti ukishamwambia unamuoa ndo anavyozidi kukaza asiguswe wakati kuna masela wanamgeuza kama chapati kwa ofa za chips mayai.

SISIS SIO WAJINGA TUNAJUA. Na huu ushauri umekuja kwa kuchelewa saaaana.
 
Mkuu ushauri wa mwaka 70 kuwapa Hawa mabinti wa miaka hii utakuwa unawapotezea bahati zao tu. Nasema hivyo kwa sababu machaguo ni mengi mno na wanaume tumekuwa hatuna subira ya kuzungushwa na mwanamke pale napomtaka. Akinizungusha napoteza interest nae sabab yupo mwengine mzuri wa sura, umbo na tabia kama yeye au zaid yake hivyo namkimbia bila hata kugeuka nyuma. Muda umekuwa mali sana, wanaume tunataka mwanamke awe straight kama ni ndio ni ndio, kama hapana ni hapana, sio kuzungushana.
Mimi wangu alikubali siku hiyo hiyo na ndio mke wangu mwaka wa 10 wa ndoa sasa hivi! Easy come, now real hard to go😃
Wawakubalie tu washkaji maana waoaji tunakuja kwa sura mbalimbali na hakuna muongozo.
 
Asante Dada Jane, kwa sisi Wazee wa mwaka 47, wanawake wote ni kwetu ni mabinti mkiongozwa na yule Binti Mkubwa mrembo mwenye macho mazuri. https://www.jamiiforums.com/threads...-yake-ni-ukosefu-wa-heshima-na-adabu.1561468/

Twende kwenye the business part, nimepanga PPR online Shop kwa kutoa matangazo ya biashara za wajasiriamali mwaka mzima, kupitia TBC, sio kusubiri mpaka Saba Saba au Nane Nane tuu, ndio kutangaza , rekodi bidhaa zako kwa simu janja yako kwa tangazo la 60 sec TBC ni just TZS 50,000,
1. Clip 1 ni selfie ya kujitambulisha jina lako , uko wapi na jina la biashara yako
2. Clip 2 unaonyesha bidhaa zako huku unaziongelea.
3. Clip 3 Unasema zinapatikana wapi.
4. Clip 4 unatoa number yako ya simu na WhatsApp
5. Una aga kuwa unawatumia popote. Kisha mimi natoa guarantee yangu, una supply online uuza online, unalipwa online .

Changamkia fursa.

P
Shukrani Sana
Ntakutumia tangazo i
 
Kwa wanawake wa kisasa ndoa ni retirement plan. Wakiwa kwenye prime zao wanataka wanaume wa aina ya pdidy. Wakishafubaa ndio wanamtaka mwanaume wa aina ya ricardo kaka. Hata hao wanaume wema nao wanaanza kushtuka na kuachana na haya mambo ya kufukuzia demu miezi.
 
Back
Top Bottom