Ushauri kwa mabinti wenye miaka 18 - 35

Na kaka zao wahusike humo, wembe wa wote huu. Ujumbe umefika mkuu.

Ova
 
It seems kuna mtu unamfokea , kila mtu ana maisha yake unachikiona wewe ni kizuri haina maana kwa wengine ni kizuri pia, siku ukiacha kufuatlilia maisha ya watu na kudeal na issues zako utatoboa
Uhuni sio Sifa Wewe🧐
 
🤣🤣🤣umesema yote hayo yamepita sikio moja kwenda jingine
 
Hasira za kuachwa hizi😁
 
It seems kuna mtu unamfokea , kila mtu ana maisha yake unachikiona wewe ni kizuri haina maana kwa wengine ni kizuri pia, siku ukiacha kufuatlilia maisha ya watu na kudeal na issues zako utatoboa
Naona dawa imekuingia.
 
Ushauri wako mzuri, ila tumeukataa kila mtu na maisha yake [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Mbona kama kuna mtu wako wa karibu ndo anafanya haya?
(Comment hii inajibu post #1 ya mtoa mada)
Mkuu unapotoa lecture ya namna hii, anza kwanza wewe kuweka ushuhuda wako kwa magumu uliyoyapitia na mafanikio yako.

Changamoto za kimaisha na namna ulivyokabiliana nazo na kutoboa.

Hauwezi kutoa theory ya mafanikio bila practical(ushuhuda)!

Usije ukawa kama mashehe na wachungaji ambao vivywani mwao wamejaa maneno na nasaha za hekima, kumbe matendo yao katika maisha yao halisi huyaendea kinyume yale yote wanayoyalaani na kuyaita ni dhambi katika mafundisho yao.

Kwa mfano kuwa, mwizi achukie wezi, mzinzi alaani sana wazinzi, mchawi alaani sana wachawi hadi kushuhudia madhabahuni!

Sasa na wewe hapo, tandaza utimilifu wako na mafanikio yatokanayo ili sasa, "wanafunzi" wawe wamegain kitu kutoka kwa legendary wa maana!

Maneno chuku chuku hayawezi kuwa ni ushauri wa maana kwa sababu maisha hayana formula na kila mtu huru huishi maisha aliyojichagulia.
 
Ushauri mzuri sana jmn watakaofuata utawasaidia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shem unanitukana?? Basi namwambia sisy Joannah akuache
Huyo Rafiki yako anae mwanaume wake,nafasi yake inapaswa uichukue wewe!
 
Huyo Rafiki yako anae mwanaume wake,nafasi yake inapaswa uichukue wewe!

Me nakujua wewe bana, na sisi km familia tulishakupitisha. Sasa hizo mambo za kutaka kuzima taa kwetu mwiko
 
Punguza ushauri mkuu ndio wengi wanasemaga ivo, Ila acha tu wazagae ili tupate huduma, Uzuri KM zikisogea tutahamia kwa wadogo zao
 
Achana na Uswahili Baby,we nipe muda wako ufurahie maisha

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ko kutembea na shemejio ndo uzungu?? Si kwetu tumefundwa shemeji sio wa kuweka naye mazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…