Ushauri kwa mabinti wenye miaka 18 - 35

Ushauri kwa mabinti wenye miaka 18 - 35

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ko kutembea na shemejio ndo uzungu?? Si kwetu tumefundwa shemeji sio wa kuweka naye mazoea
Shemeji yako kwa nani?,Huyo mtu si mpenzi wangu!

Hutaki kula pesa yangu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Khaaaaaaa!!! Kweli umedhamilia kusambaratisha familia yetu
Joannah aliniambia anaye mtu wake hivyo hata ofa niliyompa kumpeleka Ngorongoro niliamua kwenda Mwenyewe,sasa nataka hiki kiti ukichukue wewe
 
Back
Top Bottom