lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Sijui kama utaratibu huu upo au haupo, natamani kungekua na sehemu rasmi au kama ni kituo cha polisi au kwingineko ikitokea mtu akiokota kitu ambacho hamjui mwenyewe aende kukupeleka au kukabidhi hapo.
Apewe stakabadhi maalumu kuonesha kuwa kakabidhi.
Hii itasaidia watu waliopoteza vitu vyao vya thamani kama pesa, simu, vifaa na vitu vingine waweze kuvipata kwa urahisi.
Itawasaidia kujua wapate wapi vitu au vifaa vyao kwa urahisi.
Nawasilisha.