Ushauri kwa Mange Kimambi

Hivi watu wakuwaonea huruma hawapo, kama hujawaona ni bora hata utembelee mahospitalini waweza kuwaona watu sahihi wakuwaonea huruma. Kama MTU hajakuomba hata shilingi kumi yanini ukerwe na maisha Yake? Yeye amekuambia kua kazi Yake ni full time mother ndio maana analipwa na baba za watoto wake kutoka na na hilo jukumu. Hizo blah blah ni kutoka na kumtaja Daudi? au umelipwa na Daudi kupoteza ukweli, ebu thamini maisha aliyojichagulia MTU na kama kweli wewe unamtakia mema Mange mshauri kwa kutumia verified Id.!!!
 
True fact Mkuu yan kafanya insta kama ofisi japo ndio afanyacho kina manufaa kias flan ila ujuzi wake upo stoo
Inaonekana hili suala la watalamu wa kitanzania kuweka ujuzi wao stoo lipo kwenye damu, maana wasomi wengi wanapoteuliwa kwenye nyanzifa mbalimbali za utendaji serikalini wanaweka kapuni maarifa yao na kuanza kufanya yaliyo kinyume na yale waliyoyasotea miaka mingi kujifunza darasani na field. Mifano hai ni some of our ministers.
 
Warumi umeanza kuwa fake.unataka kutukanwa insta sio au na ww unatafuta kiki kwa kile kimama
 
Sure binamu
 
Unajua blog ya Mange ambayo huwa anatumia social networks ikiwemo instagram kupata wasomaji huwa inamuingizia dollar ngapi kwa mwezi? Ukilifahamu hilo hutaleta thread za kitoto tena
 

We always una habari za kipunga punga
 
Mkuu unatafuta mitusi wewe humjui Mange eh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…