Ushauri kwa Mange Kimambi

Khaaaa humu ndani kumenukaaaaaa,, me naenda na uzi tu mpk ufike pg ya 50 kimambi atakua ameshakuja kujibu mapigo
#Daudibashite#
 
Huyu dada nilimwona us mwaka jana. Kuna mishe flan anaifanya inamuingizia hela vizuri Tu Warumi. Sema nilikuja kumjua baada ya kurudi bongo kukuta watu wanamjadili.
 
Bunge letu tukufu ndo limejaa watu wa aina hii.

Only in Tanzania
 
Unajua blog ya Mange ambayo huwa anatumia social networks ikiwemo instagram kupata wasomaji huwa inamuingizia dollar ngapi kwa mwezi? Ukilifahamu hilo hutaleta thread za kitoto tena
Dola my foot, kawadanganye mitambo wenzio, nilikua miaka hyo, hakuna mtu mwenye akili timamua akamdhamini huyo msukule
 
Khaaaa humu ndani kumenukaaaaaa,, me naenda na uzi tu mpk ufike pg ya 50 kimambi atakua ameshakuja kujibu mapigo
#Daudibashite#
Aaah lol, watu tunamuogopa makonda aliyeshika dola, sio huyo kahaba ambaye ujanja wake mwisho instagram kwa matahira wenzie
 
Huyu dada nilimwona us mwaka jana. Kuna mishe flan anaifanya inamuingizia hela vizuri Tu Warumi. Sema nilikuja kumjua baada ya kurudi bongo kukuta watu wanamjadili.
Aaah wapi, hata gari hana huko US, mange angekua anamiliki vitu vya thamni vyote angeweka insta binamu, Yule hana jipya
 
jibu atakalokujibu hapo mange, atakwambia umetumwa na Daudi Bashite....?
 
Akianzaga kujisifia,utaskia nmesomea engineering majuu marekani,"u know I love it,hahahhahaha"!linaniuzigi!
Lemutuz na mange ndo wale wale,kujifanya wamesoma kumbe hamna lolote wameweka mivyeti vyao chumban
 
 
Yaani mtu akeshe mitandaoni 24/7 akifatilia mambo ya nchi na umbea useme hana kazi? Kazi anayo na analipwa vizuri tu.
Ila alipaswa kusomea uandishi wa habari!
 
Mfyuu zako, mfuate marekani huko ukamsaidie kulea akina kaenu, lol
Hata wewe huna tofauti sana na Mange. Sema mnatofautiana centers of operation tu. Mange ana operate akiwa Kwa Trump, wewe una operate ukiwa kwa Dr John. Ila wote mnashughulika na kulisha watu ubuyu.
 
Anamnanga Makounder kwenye social networks ilhali yeye na usomi wake vyeti kafungia kwenye kabati, labda huko US haajiriki, hana kwolifikeshen za kupata ajira rasmi, anachoweza huyu dada ni kupiga domo mitandaoni.
Kajiajiri kupiga domo mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…