Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dada nilimwona us mwaka jana. Kuna mishe flan anaifanya inamuingizia hela vizuri Tu Warumi. Sema nilikuja kumjua baada ya kurudi bongo kukuta watu wanamjadili.Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Bunge letu tukufu ndo limejaa watu wa aina hii.Inaonekana hili suala la watalamu wa kitanzania kuweka ujuzi wao stoo lipo kwenye damu, maana wasomi wengi wanapoteuliwa kwenye nyanzifa mbalimbali za utendaji serikalini wanaweka kapuni maarifa yao na kuanza kufanya yaliyo kinyume na yale waliyoyasotea miaka mingi kujifunza darasani na field. Mifano hai ni some of our ministers.
Dola my foot, kawadanganye mitambo wenzio, nilikua miaka hyo, hakuna mtu mwenye akili timamua akamdhamini huyo msukuleUnajua blog ya Mange ambayo huwa anatumia social networks ikiwemo instagram kupata wasomaji huwa inamuingizia dollar ngapi kwa mwezi? Ukilifahamu hilo hutaleta thread za kitoto tena
Aaah lol, watu tunamuogopa makonda aliyeshika dola, sio huyo kahaba ambaye ujanja wake mwisho instagram kwa matahira wenzieKhaaaa humu ndani kumenukaaaaaa,, me naenda na uzi tu mpk ufike pg ya 50 kimambi atakua ameshakuja kujibu mapigo
#Daudibashite#
Akianzaga kujisifia,utaskia nmesomea engineering majuu marekani,"u know I love it,hahahhahaha"!linaniuzigi!Haaa naona umemsahau na King off social network Mzee wa Degree Tatu,ambaye mpaka leo yuko Kwa baba.
Aaah wapi, hata gari hana huko US, mange angekua anamiliki vitu vya thamni vyote angeweka insta binamu, Yule hana jipyaHuyu dada nilimwona us mwaka jana. Kuna mishe flan anaifanya inamuingizia hela vizuri Tu Warumi. Sema nilikuja kumjua baada ya kurudi bongo kukuta watu wanamjadili.
jibu atakalokujibu hapo mange, atakwambia umetumwa na Daudi Bashite....?Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Ndio hvyo, Mange aachwe aishi maisha yake.Bunge letu tukufu ndo limejaa watu wa aina hii.
Only in Tanzania
Teh teh...Mange ukimfata kiboyaboya anafukua data za ukoo wako mzima, hafai kabisa!Uoga n kitu kibaya Sana, nenda pale insta kamwambie hivyo
Hata wewe huna tofauti sana na Mange. Sema mnatofautiana centers of operation tu. Mange ana operate akiwa Kwa Trump, wewe una operate ukiwa kwa Dr John. Ila wote mnashughulika na kulisha watu ubuyu.Mfyuu zako, mfuate marekani huko ukamsaidie kulea akina kaenu, lol
[emoji23] [emoji23] [emoji23] vyeti vikiwa vyako raha sana...!!!Mfyuu zako, mfuate marekani huko ukamsaidie kulea akina kaenu, lol
Si bora hata ningekua na hivyo feki ningeringa
Kajiajiri kupiga domo mitandaoni.Anamnanga Makounder kwenye social networks ilhali yeye na usomi wake vyeti kafungia kwenye kabati, labda huko US haajiriki, hana kwolifikeshen za kupata ajira rasmi, anachoweza huyu dada ni kupiga domo mitandaoni.