Ushauri kwa Mange Kimambi

True
 
Anamnanga Makounder kwenye social networks ilhali yeye na usomi wake vyeti kafungia kwenye kabati, labda huko US haajiriki, hana kwolifikeshen za kupata ajira rasmi, anachoweza huyu dada ni kupiga domo mitandaoni.
Umeona eeh
 
Huyu ana stress za talaka. Anamchukia kila aliyemzidi. Huko Marekani anakazi ya kulea tu watoto na kusubiri child support halafu kutwa anapiga makelele na Makonda.
Mpeni kazi ya kufanya basi kama mnamuonea huruma sana. Bando aweke kwa hela yake yuko marekani nyie mnawashwa mpo Tanzania
 
Mpeni kazi ya kufanya basi kama mnamuonea huruma sana. Bando aweke kwa hela yake yuko marekani nyie mnawashwa mpo Tanzania
Kwa hiyo wewe unaona marekani ni mbinguni? Huko marekani hana kazi yoyote ni yaya tu. Kazi tumpe sisi au atafute. Ni bipolar hawezi akawa mtu wa kawaida ambaye kila mwenye mafanikio ni adui yake. Anajifanya anajua kila kitu kumbe hovyo tu.Kama yeye mwanamke kweli aje Tanzania.
 
Nenda insta kwenye akaunti yake kisha uweke original ID yako na picha kisha umpe huo ushauri wako, baada ya mda tu sie huku JF tutajua tu warumi ni nani na elimu yako na vituko vyako vyote... Waulize wenzio.. Mange aliacha kazi bank ili afanye hii anayofanya na ndo chaguo lake... Kamuulize lemutuz
 
Aje Tanzania mumkamate? Kwani ye mjinga. Usimchukie mtu kwa sababu anasema ukweli hizo ni tabia za kichawi watanzania mkoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…