Ushauri kwa Mange Kimambi

Ushauri kwa Mange Kimambi

Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?

Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite

Hivi mtu ukilambishwa unaweza jitoa akili hivi?
 
Anamnanga Makounder kwenye social networks ilhali yeye na usomi wake vyeti kafungia kwenye kabati, labda huko US haajiriki, hana kwolifikeshen za kupata ajira rasmi, anachoweza huyu dada ni kupiga domo mitandaoni.
Lakin kama anaishi na anatimiza majukum ya familiar yake kwake ni sawa tu...
 
Aje Tanzania mumkamate? Kwani ye mjinga. Usimchukie mtu kwa sababu anasema ukweli hizo ni tabia za kichawi watanzania mkoje?
Kama ni ukweli anaogopa nini sasa? Kama ni uchawi dhahiri yeye ndo atakiwa mwanga namba moja maana ni bingwa wa kuchukia wenye mafanikio. Mwambie afanye kazi child support ina ukomo mwache aendekeze roho mbaya tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ni uchochezi wa kumwagia petrol kwenye moto[emoji23]
 
Anaogopwa makonda peke yake,chezeya central weye

WEWE KAPAKE LIPTI
Menopause inakusumbua

Itakua inakusumbua wewe zaidi usiyejua kuchambua mambo na kujua which issue is sensitive kwa taifa ,Hata wewe ni mmojawapo wa watu wanotumia vyeti fake mwisho wa siku mnaishia kusign deed pole na kuacha majina yenu halisi

wewe unayejiita warumi elimu yako imekusaidi na kitu gani hasa?GROW UP
 
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?

Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Umelala wapi mkuu??
Mbona kama unatoka usingizini halafu unaanza kupayuka hovyo??
 
Kama ni ukweli anaogopa nini sasa? Kama ni uchawi dhahiri yeye ndo atakiwa mwanga namba moja maana ni bingwa wa kuchukia wenye mafanikio. Mwambie afanye kazi child support ina ukomo mwache aendekeze roho mbaya tu.
We wawapi.kama hapa tu watu wanaongea wanapelekwa jela ye akija si ndo watamnyonga kabisa. Hajawahi kumchukia mtu bila sababu usimzushie Dada wa watu tabia yake ya kuwaumbua wanafiki hasa maccm inawauma sana ila si tunampenda anatusaidia.
 
Kwa hiyo wewe unaona marekani ni mbinguni? Huko marekani hana kazi yoyote ni yaya tu. Kazi tumpe sisi au atafute. Ni bipolar hawezi akawa mtu wa kawaida ambaye kila mwenye mafanikio ni adui yake. Anajifanya anajua kila kitu kumbe hovyo tu.Kama yeye mwanamke kweli aje Tanzania.
Kaachwa bila kijiko manina povu lazima limtoke
 
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye? Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
mna furahisha sana mnavo mtetea bwana Daud A. Bashite ana walipa kiasi gani??

Maana wew kutwa kumsafisha uku JF na kule insta yupo Le mtumbozz shati kuuuubwa kama Shuka za mashineni yey kutwa kumtetea et Fact Fact wakat ana andika utumbo..
 
Sina uhakika kama anapitia Huku Mange ila unaweza ukamdm instagram au what's app namba yake ipo kwa page uone moto wake
Hapa hatukujui wewe jinsia gani ila kwa mange naamini tutakujua mpka bibi zako
 
Alijua kukaa marekani ndo kupatia maisha, kutwa wabongo wanamnyima usingiz
Mafanikio ya watu yanamfanya achanganyikiwe kutwa ana kazi ya kuandama waliomzidi. Na ni muongo namba moja. Rejea talaka yake ndo utajua ni muongo. Anapenda kuaminiwa asilimia Mia moja ikiwa ni muongo wa kiwango cha lami. Ndo maana yuko Kama skeleton[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha ha haaaaa huyu jamaa wakuitwa warumi aliwahi kuitisha Press conference hapa Jf nakutaka watu wamuulize maswali ila akaweka Masharti yakwamba Kuhusu swala la JINSIA yake asiulizwe maana hatajibu.
Ohoooo!!!pitia hizi post zake hapo chini kuna kitu utabaini[emoji116]
59dbb52f428022846ec4a14b206f8616.jpg
6d80a6725f4cb922c62ea573f55e2c00.jpg
 
True fact Mkuu yan kafanya insta kama ofisi japo ndio afanyacho kina manufaa kias flan ila ujuzi wake upo stoo
We waste our time....declining our growth....hakuna anachopata
 
Back
Top Bottom