Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
nyie ndio wachawi wenyewe kusoma asome yeye kuumia uumie weweAkianzaga kujisifia,utaskia nmesomea engineering majuu marekani,"u know I love it,hahahhahaha"!linaniuzigi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyie ndio wachawi wenyewe kusoma asome yeye kuumia uumie weweAkianzaga kujisifia,utaskia nmesomea engineering majuu marekani,"u know I love it,hahahhahaha"!linaniuzigi!
Dah[emoji33] [emoji15] ...!!! Bange nyingine sijui mnachanganyiwa na kinyesi maana sio kwa ushuzi huu...MCHANGO WA MANGE KWA NCHII HAUJAFIKIWA NA KIONGOZI YEYOTE MPAKA SASA. SO SHUT THE F
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Abebe hata maboksi
Nitakwambia siku nitayoachika au kuwa mjane, InshaAllahNazidi kukupenda
Natangaza ndoa walahi
Lazima nikuoe lady AJ
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
bado hakajavunja ungo vizuri haka mkuuUnajua blog ya Mange ambayo huwa anatumia social networks ikiwemo instagram kupata wasomaji huwa inamuingizia dollar ngapi kwa mwezi? Ukilifahamu hilo hutaleta thread za kitoto tena
Mkuu watu wanatumia social networks kutengeneza pesa yeye anahisi wanapoteza muda mtandaoni ilhali ni moja ya ofisi. [emoji54] [emoji54] [emoji54]bado hakajavunja ungo vizuri haka mkuu
Kanataka kutafuta jina kupitia MangeMkuu watu wanatumia social networks kutengeneza pesa yeye anahisi wanapoteza muda mtandaoni ilhali ni moja ya ofisi. [emoji54] [emoji54] [emoji54]
Jamaa ana degree tatu lakin ana picha moja ya kumbukumbu shulen kila siku anafanya kuedit na kuchange colour .mzee wa fact juu ya fact [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haaa naona umemsahau na King off social network Mzee wa Degree Tatu,ambaye mpaka leo yuko Kwa baba.
Ebu washangae mbwa haoWapo wengi humu wanaojifanya wana Vyeti safi hatujaona faida ya usomi wao,, Kazi kumsakama Makonda tu kisa katia pilipili kwenye Nganda haivutiki tena.
Na bado mzee alisema atakaye fika mwezi wa Saba hali akiendelea kupiga na kuishi kwa kutegemea DILI huyo atakuwa ni Kidume cha Ukweli.
Sasa HIV ndo kwanza tunamaliza Feb. Watu wamepagawa na Vyeti vya Makonda mlikuwa wapi kabla hajawakamata na Bwimbwi zenu mbona mlikuwa kimya?
Makonda anawanyma usingizi mazafanta, watajibebaNashangaa eti vyeti feki,walisubiri watajwe,ndipo waseme hayo? Kama feki lkn vinafanya Kazi ya kuwataja wanao didimiza maendeleo na kuwafanya mazezete baadhi ya wenzetu,bora vyeti feki vyenye manufaa,kuliko vyeti halisi vya hasara,ni heri Mwanga kibatari nyumbani kwako,kuliko Mwanga wa taa ya umeme gerezani.
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Unadhani sijui kama vibaraka mpo humu, nadhani mtamfikishia ujumbe boss wenu, mbwa zenu nyieSasa umetuma huu ujumbe huku unauhakika kama aingiaga humu jamii forum? Ingefaa ungeenda istagram angekupata kwa wepesi
Sent from my TECNO-A7 using JamiiForums mobile app
Kazi mjini hana, asifuatilie maisha ya watu kwa nini, she is a looser, akina jackline wameolewa na mabillionea wametulia kimyanakwambia embu jarib kumfata kwenye post...zake kama hutamjua babu alie mzaa bib wa bibi wa bib ako mzaa babu yako
Ishu sio vibaraka, ila unaelekezwa sehemu husika amabyo ujumbe utamfikia muhusikaUnadhani sijui kama vibaraka mpo humu, nadhani mtamfikishia ujumbe boss wenu, mbwa zenu nyie