Ushauri kwa Mange Kimambi

Ushauri kwa Mange Kimambi

Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?

Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite


Hii ni kiboko, eti kasomea Dubai. Alikuwa changu nini kuleeeee, maana watu wengi wanaokwenda kusoma Dubai tunafahamu mienendo yao ya usiku kwenye ile mitaa. Mange hajasoma lolote yule demu kwani mtu aliyesoma anajitambua. Mange na Wema wana tofauti gani?
 
Unajua blog ya Mange ambayo huwa anatumia social networks ikiwemo instagram kupata wasomaji huwa inamuingizia dollar ngapi kwa mwezi? Ukilifahamu hilo hutaleta thread za kitoto tena
bado hakajavunja ungo vizuri haka mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Mkuu watu wanatumia social networks kutengeneza pesa yeye anahisi wanapoteza muda mtandaoni ilhali ni moja ya ofisi. [emoji54] [emoji54] [emoji54]
Kanataka kutafuta jina kupitia Mange

Kajitu kenyewe hata kujitawaza vizuri hakajui halafu kanataka kushindana na Mange Kimambi

Huyu hana tofauti na harmorapa
 
Haaa naona umemsahau na King off social network Mzee wa Degree Tatu,ambaye mpaka leo yuko Kwa baba.
Jamaa ana degree tatu lakin ana picha moja ya kumbukumbu shulen kila siku anafanya kuedit na kuchange colour .mzee wa fact juu ya fact [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wapo wengi humu wanaojifanya wana Vyeti safi hatujaona faida ya usomi wao,, Kazi kumsakama Makonda tu kisa katia pilipili kwenye Nganda haivutiki tena.

Na bado mzee alisema atakaye fika mwezi wa Saba hali akiendelea kupiga na kuishi kwa kutegemea DILI huyo atakuwa ni Kidume cha Ukweli.

Sasa HIV ndo kwanza tunamaliza Feb. Watu wamepagawa na Vyeti vya Makonda mlikuwa wapi kabla hajawakamata na Bwimbwi zenu mbona mlikuwa kimya?
Ebu washangae mbwa hao
 
Nashangaa eti vyeti feki,walisubiri watajwe,ndipo waseme hayo? Kama feki lkn vinafanya Kazi ya kuwataja wanao didimiza maendeleo na kuwafanya mazezete baadhi ya wenzetu,bora vyeti feki vyenye manufaa,kuliko vyeti halisi vya hasara,ni heri Mwanga kibatari nyumbani kwako,kuliko Mwanga wa taa ya umeme gerezani.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Makonda anawanyma usingizi mazafanta, watajibeba
 
nakwambia embu jarib kumfata kwenye post...zake kama hutamjua babu alie mzaa bib wa bibi wa bib ako mzaa babu yako
Kazi mjini hana, asifuatilie maisha ya watu kwa nini, she is a looser, akina jackline wameolewa na mabillionea wametulia kimya
 
achana na mange kimambi kwanza tuanze na hili la kutumia IDENTITY ya mtu mwingine kama ndio wewe..!

kupata 0 sio KOSA, kosa ni pale unapotumia cheti cha mtu ambaye sio wewe...!

mimi nilidhani before kum attack mange ungemshauri BASHITE alite vyeti vyake watu waone ukweli wa mambo...!

"to every action there is an equal and opposite reaction"

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom