Ushauri kwa manufaa ya jamii nzima

Kweli kabisa mshana,, binafsi nataka kusafiri na familia nzima ntarudi july huko, nyumbani kwangu namwacha mtu aniangalizie nyumba eeh yesu najua upo nami na utailinda pia nyumba yangu na kila kilichopo, amina
 
.....na Anayemfuata
 
...atakayefuata na kushika maneno yako, hakika lazima atakushukuru kwa matokeo chanya atakayopata.
 
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
 

Namba 11[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zile filimbi za bati gumu zinatumiwa sana na mgambo na ulinzi shirikishi wezi wanaziogopa sana

Hahaaaa Mshana umenikumbusha mbali

Kuna nyumba tulikuwa tunashare na dada mmoja

Wezi wakaiba siku ya kwanza bila kushtukiwa, siku ya pili wakarejea kubeba vilivyobaki kuna pipa lilijaa maji, hivyo wakasukuma maji ya mwagike
Yule mwenzangu Alipuliza filimbi Mara moja tu, tukaambulia vishindo vya kuruka ukuta

Mpaka Leo nikikumbuka huwa nacheka mno Yaani Yule mrembo kuwa na filimbi sikutegemea kabisa,
Ila ilitusaidia na wezi hawakurudi tena.
 
Furaha inatoka wapi kama unaandika mambo ya uhalifu kuongezeka kwa kasi!???

Hii si ni dalili ya kuanza kuishi kwa hofu

Mbona unajikanganya kwenye maelezo mkuu

Uhalifu haujawahi kuisha
Tofauti tu sasa Hivi watu wanajiandikia bila woga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…