Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakubaliana na wewe kabisa hasa kwenye hilo la kwanza, nashuhudia makosa makubwa kabisa ya kiuandish ktk page ya bbc inanikera sana,
kingine ni vichwa vya habari vimekaa kiudaku sana halafu habari inaandikwa kifupi mno
wawaige wenzao DW
Kumbuka Salim Kikeke kama wewe ni mfuatiliaji mzuri,Huyu jama kabla hajaanzisha bbc dira ya dunia,alikuwa anarusha kipind cha vituko na masikhara asbh baada ya taarifa ya bbc swahili kueleke ukingoni,yeye alikuwa anapewa dk 15.ya kutujuza vituko vilivyotokea duniani.
Kwa iyo usishangae kukuta habari za ajb ajabu ktk page yake,ni moja ya kazi yake.
Kikeke kupost kitu akipendacho kwenye fb wall yake mimi naona ni sawa maana ni yake binafsi na si ya bbc
Miongoni mwa vyombo vya habari vyenye weredi usio na shaka katika habari zake ni BBC SWAHILI. Nami nimekuwa msikilizaji na msomaji wa chombo hiki kwa muda mrefu sasa hasa nyakati za asubuhi na jioni. Kumbuka mimi si mwandishi mzuri hivyo usishangae namna ya mtiririko wangu ila kumbuka kuwa mimi ni "PRESCRIPTIVIST".
Lakini katika siku za hivi karibuni kuna upungufu wa weredi ambao mimi kama mimi ninauona katika habari zao mbali mbali kama ifuatavyo.
1.Kuna makosa ya kiuandishi "TYPO" na baadhi ya sentensi zao kukosa upatanisho wa kisarufi "con-cordial relationship" katika makala na habari zao nyingi, kwa usahihi zaidi naomba ufatilie habari zao wanazorusha "FB", na "WEBSITE" yao.
N.B: kwa chombo makini kama BBC wanajishushia heshima na credibility ya kuwa chombo cha
kuaminika katika habari zake kwani kinaonekana kuwa na wahariri wasio makini na habari wanazorusha
hewani. Mimi nawaomba walifanyie kazi jambo hilo ili kulinda heshima ya tasnina ya habari hasa ya
kimataifa (waige na kujifunza tokakwa wenzao BBC ENGLISH) na kadhalika.
2.Kuhusu Kaka SALIMU KIKEKE. Huyu ni mtangajizi mahili na anayependwa na wadau wengi wa tasni ya habari ya ndani na ya kimataifa nikiwemo na mimi. Ila kuna baadhi ya mbo ninayaona kama hayaendani nae kama mtangazaji wa chombo kikubwa kama BBC. Huyu bwana Kikeke amekuwa akirusha "post" habari flani flani ambazo ninaona kama za "kitoto toto au udaku " katika ukurasa wake wa FB, na TWITER , yaani habari nilizokuwa nikitegemea nizikute kwenye Global publishers,mpekuzi,audiface, mambo mseto, mambo ya walimwengu, dj sek, na kadhalika , leo hii ninaziona katika ukurasa wake kitu kinachofanya nione kuwa hatendei haki jina lake na hadhi yake.
N.B: Nimetoa ushauri tu, kama wakiona unafaa waufanyie kazi , kama wakishindwa wapotezee ila Nimetoa dukuduku langu kwa nia ya kujenga na sio kushambulia au kuponda mtu flani au chombo flani.
Hivyo mchangiaji naomba awe ni mtu aliyesoma na kuuelewa uzi wangu na awe anayefatilia mambo niliyoainisha vinginevyo ukija kichwa kichwa utatoka kapa na kubaki. ONYO: Changia hoja kwa adabu na heshima.
Hiyo hapo ndio nini sasa?..Ila kuna baadhi ya mbo ninayaona..
hiyo hapo ndio nini sasa?
mwenyewe huwezi kuandika pia.
Miongoni mwa vyombo vya habari vyenye weledi usio na shaka katika habari zake ni BBC Swahili. Nami nimekuwa msikilizaji na msomaji wa chombo hiki kwa muda mrefu sasa hasa nyakati za asubuhi na jioni. Mimi si mwandishi mzuri hivyo usishangae namna ya mtiririko wangu ila kumbuka kuwa mimi ni "PRESCRIPTIVIST".
Siku za hivi karibuni kuna upungufu wa weledi ambao mimi kama mimi ninauona katika habari zao mbali mbali kama ifuatavyo.
1.Kuna makosa ya kiuandishi "TYPO" na baadhi ya sentensi zao kukosa upatanisho wa kisarufi "con-cordial relationship" katika makala na habari zao nyingi, kwa usahihi zaidi naomba ufatilie habari zao wanazorusha Facebook, na kwenye tovuti yao.
N.B: kwa chombo makini kama BBC wanajishushia heshima na credibility ya kuwa chombo cha
kuaminika katika habari zake kwani kinaonekana kuwa na wahariri wasio makini na habari wanazorusha
hewani. Mimi nawaomba walifanyie kazi jambo hilo ili kulinda heshima ya tasnina ya habari hasa ya
kimataifa (waige na kujifunza tokakwa wenzao BBC English) na kadhalika.
2.Kuhusu Kaka Salim Kikeke. Huyu ni mtangazaji mahiri na anayependwa na wadau wengi wa tasni ya habari ya ndani na ya kimataifa nikiwemo na mimi. Ila kuna baadhi ya mbo ninayaona kama hayaendani nae kama mtangazaji wa chombo kikubwa kama BBC. Huyu bwana Kikeke amekuwa akirusha "post" habari flani flani ambazo ninaona kama za "kitoto toto au udaku " katika ukurasa wake wa Facebook na Twitter, yaani habari nilizokuwa nikitegemea nizikute kwenye Global Publishers, Mpekuzi, Audiface, Mambo Mseto, Mambo ya Walimwengu, DJ Sek, na kadhalika ninaziona katika ukurasa wake kitu kinachofanya nione kuwa hatendei haki jina lake na hadhi yake.
N.B: Nimetoa ushauri tu, kama wakiona unafaa waufanyie kazi , kama wakishindwa wapotezee ila nimetoa dukuduku langu kwa nia ya kujenga na sio kushambulia au kuponda mtu flani au chombo flani.
Hivyo mchangiaji naomba awe ni mtu aliyesoma na kuuelewa uzi wangu na awe anayefatilia mambo niliyoainisha vinginevyo ukija kichwa kichwa utatoka kapa na kubaki.
ONYO: Changia hoja kwa adabu na heshima.

Ni kweli kabisa hapo kwa Salim Kikeke...Yani FB page ni kinyaa...Sometimes huwa nashindwa kuelewa kama kichwa yake ipo sawa..