Ushauri kwa mhariri wa BBC Swahili na Salim Kikeke

Ushauri kwa mhariri wa BBC Swahili na Salim Kikeke

MeinKempf hebu badili kwanza avatar yako... Inatutisha wengine!
 
Last edited by a moderator:
1.He is a person too, so he has his life beyond his career, So he's free to do anything as he pleases as long as he doesn't break the established laws...

2.He is there by his own efforts, he is a superb journalist that's why he was picked amongst a bunch of millions journalists around East Africa.

3.I don't see any point from your jealousy criticism :

4If you are paid off to do this rubbish bro that's not how a man should be.............


5.Is it wrong for him to have sense of humors with people he interacts with? Stop plotting how people should live.. adjust and ammend your failures instead......................

6.Let Him Be What He wanna Be for everyone has a free will!!


Bye.


I am replying your premises as follows:

Case 1..
If you real understood what i posted , no problem ,but if not, it seems that your brain needs to be refreshed due to the fact that it works like "brain comma". Nani kasema kuwa kikeke kavunja sheria? wala mada haikuwa kumtuhumu kwa uvunjifu wa sheria na kwa taarifa yako tunajua kuwa kuna kitu inaitwa "liberty" .

Case 2.


Your totally wrong coz ur trying to justify something that you don't know, kikeke is there due to fans support coz sisi ndio yeye na bila kumpa ushirikiano wetu asingefika hapo alipo. kwahiyo acha uongo na uzandiki kwa kujidai kuwa kafika hapo alipo yeye kama yeye... ninyi ndo ina ya watu ambao leo mko huku chini na siku mkitoka kimaisha manjidai mmetoka ninyi kama ninyi wakati kuna watu kibao waliochangia kufanikisha kufika pale ulipo . kumbuka yeye anafanya kazi ya habari amabyo inahitaji uungwaji mkono na jamii husika ya habari.

Case 3.

Real you don't see any point ? mine i do think that may be your brain is Tabu-rasa "blank slate" like . Better u could have said "i don't understand any point" so that the one who understood what were discussed in between so that they can help u much better. sasa sijui unajua kuwa kuna tofauti ya mjinga na --------? sasa wewe ni M.p.u.m.b.a.vu yaani unabisha kitu wakati unajua kuwa kuna ukweli ndani yake. Eti kuna wivu ....ahaaaa absolutely damn.

Case 4.


No one paid me for presenting such arguments ...but coz ur brain has been brainwashed like maggots then u tends to think so. hivi wewe inaonekana akili yako na ufahamu wako kw aujumla umeoza kwa rushwa na vifungu vya kwenye bahasha za kaki. You layman by the way you think and pretend to be.... plz dont be "MUCH KNOWLEDGEABLE OTHERS "M.K.O" For what you don't know for sure.

Case 5.


It seems that you didn't understand the tittle above... better u revise ... as for so far that your brain has been rotten. karaga baho ....na umburura wako b.w.e.g.e wewe....yani mawazo yako kama tumbili.

Case 6.


Kajipange na upya moko wewe coz ur smelling excrement if not faeces.
 
Ila hata mimi nakubaliana na mtoa mada, nikiwa mpenzi wa tasnia ya habari na hususani BBC Swahili kama chombo cha habari. Ni kweli kwamba habari zinazokuwa posted facebook hasa wanapokuwa wanakifanyia promotion kipindi cha Amka na BBC huwa zinakuwa na makosa ya lugha, mpaka huwa najiuliza kama wao BBC Swahili hurusha hewani makala ya Kiswahili, kwa nini wanaruhusu makosa hata baada ya kupitia hatua za uhariri? Pia inaonekana wanaajiri wanahabari ambao hawana ufasaha wa lugha ya Kiswahili. Ingawa mara nyingine inawalazimu ili kupata waandishi wenye uzoefu wa maeneo na kanda mbalimbali, lakini ni muhimu kwa safu ya uhariri kusimama imara, huku waandishi wasiokuwa na uwezo mkubwa wa Kiswahili wakifuliwa zaidi.
Kwa upande wa Kikeke na facebook, hata mimi huwa sijisikii vizuri sana kuona anapost vitu kama "kwa asiye na moyo atapita bila ku-comment" au "type amen kama...". Hiyo haina msaada wowote kwa jamii, kwani mara nyingi kama sio zote huwa haijulikani hizo picha ni za nani, watu hawawezi kutoa msaada wowote wa hali na mali kwa kuangalia picha za watu wasiowajua, ambazo kwa bahati mbaya huenda hata zinakuwa zimefanyiwa photo-shopping.
Nawasilisha.
 
Utakuwa Kibonde Ephraim wewe! UMEKOSA INTERVIEW ya BBC huna lolote "Lofa" wee!
 
Back
Top Bottom