Ushauri kwa mhariri wa BBC Swahili na Salim Kikeke

Kumbuka Salim Kikeke kama wewe ni mfuatiliaji mzuri,Huyu jama kabla hajaanzisha bbc dira ya dunia,alikuwa anarusha kipind cha vituko na masikhara asbh baada ya taarifa ya bbc swahili kueleke ukingoni,yeye alikuwa anapewa dk 15.ya kutujuza vituko vilivyotokea duniani.
Kwa iyo usishangae kukuta habari za ajb ajabu ktk page yake,ni moja ya kazi yake.
 
nakubaliana na wewe kabisa hasa kwenye hilo la kwanza, nashuhudia makosa makubwa kabisa ya kiuandish ktk page ya bbc inanikera sana,
kingine ni vichwa vya habari vimekaa kiudaku sana halafu habari inaandikwa kifupi mno
wawaige wenzao DW

Ahsante kwa kufatilia mambo ya msingi mwana BBC SWAHILI wenzangu, natumai atajirekebisha kaka yetu Salim kikeke katika tasnia yake ya uandishi wa habari.
 

Umenikumbusha mbali sana mkuu kwani nami ni mpenzi wa vituko vya walimwengu na Salim Kikeke.... lakini kwenye mambo "formal" kama habari naomba awe ana hariri vema habari yake kabla kuirusha hewani.
 
Ni kweli kabisa hapo kwa Salim Kikeke...Yani FB page ni kinyaa...Sometimes huwa nashindwa kuelewa kama kichwa yake ipo sawa..
 
Kikeke kupost kitu akipendacho kwenye fb wall yake mimi naona ni sawa maana ni yake binafsi na si ya bbc

BBC ni watu (nikimaanisha wafanyakazi wake), Kikeke ni BBC.

Hivi ukijua mshikaji ni kibaka mtaani, halafu siku ya siku unaenda kuweka hela benki unakuta mshkaji ndio teller, utafanyaje?

1. Utaweka tu huku ukisema yale ni maisha yake na hii ni benki (yuko kazini)
2. Utakuwa na wasi wasi na hela yako huku ukiwaza kwa nini benk inaajiri mwizi?
 

Nakubaliana nawe katika hilo la kwanza lakini kwenye hili la pili naona kama hilo ni la kwake binafsi halituhusu kwanza anatufurahisha wengjne life is too short to be serious all the time, akiwa kazini sawa lakini huku kwenye twitter na fb sioni shida kabisa
 
Ni kweli kabisa hapo kwa Salim Kikeke...Yani FB page ni kinyaa...Sometimes huwa nashindwa kuelewa kama kichwa yake ipo sawa..

Tuendelee kumsaidia bro Kikeke aweze rudi kwenye anga zake za kimataifa ili azidi kutupa raha...
 
Nakubaliana nae kwenye hili la post zake kwenye facebook, mara ya kwanza nilishangaa na kujiuliza mara mbili kama ni kweli amepost yeye au kuna hackers wamevamia! ushauri wako hata kama facebook wall ni yake binafsi lakini kwa hadhi aliyofikia privacy yake ni public issue, so ni lazima awe makini? watu wanaweza kumuhukumu kwa post zake za facebook na twitter n sio kwa usomaji wake wa habari BBC Swahili! " words are enough for the wise"
 

ama kweli ww ni mhariri mzuri mkuu
 

uko sahihi , nliyaona hayo hata mimi
 
Ni kweli kabisa hapo kwa Salim Kikeke...Yani FB page ni kinyaa...Sometimes huwa nashindwa kuelewa kama kichwa yake ipo sawa..

page ya salim kikeke imetambuliwa na fb. Kuna page zaidi 2 fake ambazo zinatumia jina lake na mbaya zaidi zingne mpaka zinakuomba urafiki. Hiyo page fake mimi mwenyewe ilinishangaza sana na post zake za ajabuajabu, nikafatilia kumbe ni fake. Page yake ina watu zaidi ya laki 5. Kuweni makni watu wanatumia majina ya watu ili kupata watu wengi.

https://www.facebook.com/SalimKikeke?hc_location=timeline
 
Nikweli kabisa hata mimi ni mfatiliaji sana wa nyayo zake lakini naona kama hajatambua umuhim wake kwenye jamii
 
Lakini haoni kuwa wakati umefika sasa abadilike na kuandika habari za kuleta muonekano mpya ?
 
Nikweli kabisa hata mimi ni mfatiliaji sana wa nyayo zake lakini naona kama hajatambua umuhim wake kwenye jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…