Ushauri kwa Mjasiriamali Kilimo huyu

Ushauri kwa Mjasiriamali Kilimo huyu

MwanaHaki

R I P
Joined
Oct 17, 2006
Posts
2,401
Reaction score
707
Waungwana, Kuna mjasiriamali kilimo ambaye anataka kuanza biashara ya mazao mbali mbali yanayostawi kwa muda mfupi kutumia kilimo cha umwagiliaji, mkoani Morogoro. Anaomba ushauri wenu. Ameandika questionnaire ambayo ninaiambatanisha hapa. Nadhani, kwa heshima yenu, wajasiriamali, ushauri wenu utakuwa mkubwa na wenye manufaa sana kwenu. Someni questionnaire ili muweze kujibu maswali yake, ambayo kwa mtazamo wake anaona majibu yenu ndiyo yatakayokuwa sahihi kabisa. Ameniambia haombi ushauri kwingine zaidi ya JF. Mnaonaje? Kazi kwenu! P.S. Mnaweza kujaza questionnaire hii kwa kadri mnavyoweza, yaani, aina tofauti za mazao ambayo yanastawi mkoani Morogoro.
 

Attachments

Mmeogopa kutoa msaada wenu au huo mchanganuo wake unatisha? Semeni!
 
Angeweka namba kwenye maswali yake. Cc tunaotumia simu hatuwez kucopy swali zima.
 
Aende na SUA pale anaweza kukutana na wataalam wakampa ushauri zaidi.
 
Mkuu hizi questionare inatakiwa zijazwe na watu wa eneo husika tu, kama anafanyia Moro basi watu wa huko ndo wanatakiwa wajaze, Haiwezekani ufanyie shughuli Mtwara halafu questinare wajaze watu wa Kagera,

So kama wamo humu sawa kama hawapo jaribu kuwatafuta manualy ili wajaze
 
Back
Top Bottom