MwanaHaki
R I P
- Oct 17, 2006
- 2,401
- 707
Waungwana, Kuna mjasiriamali kilimo ambaye anataka kuanza biashara ya mazao mbali mbali yanayostawi kwa muda mfupi kutumia kilimo cha umwagiliaji, mkoani Morogoro. Anaomba ushauri wenu. Ameandika questionnaire ambayo ninaiambatanisha hapa. Nadhani, kwa heshima yenu, wajasiriamali, ushauri wenu utakuwa mkubwa na wenye manufaa sana kwenu. Someni questionnaire ili muweze kujibu maswali yake, ambayo kwa mtazamo wake anaona majibu yenu ndiyo yatakayokuwa sahihi kabisa. Ameniambia haombi ushauri kwingine zaidi ya JF. Mnaonaje? Kazi kwenu! P.S. Mnaweza kujaza questionnaire hii kwa kadri mnavyoweza, yaani, aina tofauti za mazao ambayo yanastawi mkoani Morogoro.