Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 843
- 1,630
''Depo mama depo depo mama sifa morali''
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waswahili wanasema kupanga ni kuchagua...!Wadanganye WAKAJILEEE
Kipindi nakua nilikuwa napenda sana jeshi na kwa akili zangu nilikuwa najua vitengo unajichagulia kadri upendavyo.
utalipata japo wanaolipenda sana jeshi awakuwahi kulipata...!Nalisakaaa bakabaka hioo mamaamaaa usiku silali nawaza mkeeeshaa
Duh, halafu ukipata ajira unapelekwa Congo unapigwa risasi unakufa.
Hakuna kazi sipendi kama zinazohusiana na ulinzi
unanitamanisha harafu nikija unakimbia...🤣🤣🤣🤣Achana na hii topic, we njoo ule asali yako inakusubiri.
Halafu ukimaliza yote haya wanakutupa Suma Ukalinde mnara huko Mbinga milimani na kibegi chako na salary ya laki tatu.
Hii kazi enzi zile tulikua kama umesoma kidogo tunaikimbia dah... naskia vijana siku hizi weji digiriii zao wanatoa mpaka kitu chochote wazame.
wewe umenielewa...japo kuna watu watakupinga...!NIZAMU NDIO KILA KITU NA KUJITUMA USIPOTOBOA UNA GUNDU.
nilijitolea, nikasajiliwa, mkataba ukaisha, nikarudi mtaani 🤣🤣🤣Kwahiyo ulienda kujitolea? Ukawa service man ukachukua na tabia za maservice!?
Aya.
wapo wanayo ibeza...ila hii Lonja hutokuja kuipata popote...paleHio chenja mkuu
Kabisa.... [emoji2][emoji2][emoji2] yaan tuachane na hayo ukmalza unapelekwa congo risas 1 chali ...ebanaDuh, halafu ukipata ajira unapelekwa Congo unapigwa risasi unakufa.
Hakuna kazi sipendi kama zinazohusiana na ulinzi
Mtu katoa rushwa milioni 1-2 leo hii umwite mzalendo?
Vijana wa kujitolea JKT wote wameenda huko baada ya kutoa rushwa mikoani kwao na wengine wameenda kwa nguvu za viongozi wa mkoa na wilaya au viongozi wa jeshi ambao ni ndugu zao.
Kwahiyo hakuna mzalendo mtoa rushwa au mzalendo wa kwenda JKT kwa kimemo.
Amekwenda kwa nguvu zake na wazazi wake acha kumpangia au kujifanya kumpa ushauri.
Nimekwenda JKT miaka zaidi ya kumi imepita , hakuna mzalendo kule wote wanataka ajira na kuingia kule lazima ucheze rough.
WANAJESHI kwenye mishahala wapo juu fuatilia vizuri wame wazidi taasisi zote za Ulinzi...Kazi ya watu walioshindwa maisha ,hiyo ndio option yao ya mwisho.
Mateso kibao,kuvuliwa utu wako unakuwa mtu wa kunyenyekea muda wote kamshahara kenyewe ni kaduchu.