Ushauri kwa msanii Harmonize

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Jamaaa anaimbaaaa aiseee πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Huu ni ushauri kwa Harmonize

1. Punguza Bangi
2. Kuwa na creativity upande wa collabo. Achana na wasanii wa hapahapa. Mtafute hata lilbaby piga nae collabo la Karne.
3. Oa
4. Hakikisha hauwasiliani na Diamond. Vimba.
5. Mwezi wa 9 mwaka huu Usisafiri.

Yangu ni hayo tu. Ukiona naandika kitu ujue tiyari Nina mafile yako. Wewe ni kioo cha jamii. Badilika πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

 
Kwa utunzi tu, jamaa namvulia kofia, mjomba nchumali ana ngoma kali mnoo, shida tu kichwa yake haiko MUSURI na amekosa watu sahihi wa kumuongoza. Akifanya masihara atapotea kwenye game. Toka atoke WCB huenda akawa na hitsongs nyingi kuzidi hata ali kiba.

Haoa katikati mmakonde alinishawishi nikawa nasikiliza muziki, akitoa ngoma nikiisikia, nitatenga muda niisikilize, lakini kimaisha na tabia habadiliki na hasogei mbele.
 
Hilo ndio tatizo na ndio kilicho nifanya nimpe huu ushauri.
 
Andika kuhusu Mimi basi faili langu si unalo, umeambiwa jamaa anaimba hilo ndio faili lenyewe?
 
Quality zake baadhi:

Anatembelea Namba 1
Nyota Samaki
Maji
Flexible
Likes almost every change
Deals with unknown situations very well

Kaa kwa kutulia acha aendelee kupiga kazi, nafikiri suala la kuoa sio kipaumbele chake alafu kuhusu kula kaya hio ni personal lifestyle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…