Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Jamaaa anaimbaaaa aiseee ๐๐๐๐
Huu ni ushauri kwa Harmonize
1. Punguza Bangi
2. Kuwa na creativity upande wa collabo. Achana na wasanii wa hapahapa. Mtafute hata lilbaby piga nae collabo la Karne.
3. Oa
4. Hakikisha hauwasiliani na Diamond. Vimba.
5. Mwezi wa 9 mwaka huu Usisafiri.
Yangu ni hayo tu. Ukiona naandika kitu ujue tiyari Nina mafile yako. Wewe ni kioo cha jamii. Badilika ๐น๐ฟ