Ushauri kwa mtaji wa million 10 nifanye biashara ipi vifaa vya pikipiki au duka electonics?

ivanmark714

Senior Member
Joined
Jul 13, 2019
Posts
108
Reaction score
191
Habari?
Niende moja kwa moja kwenye point...

Nimejichanga nimepata mtaji wa kiasi cha millioni 10 nataka nifanye biashara moja kati ya hizi ambazo ni duka la vifaa ya pikipiki au duka la electronics hapa ni vile home applience yani TV ,FRIDGE, REDIO, FAN nk...

Kwa upande wa location nipo pwani yani nje kidogo sana ya dar es salaam upande wa mbagala...!!

Na kuhusu muingiliano wa kila biashara unaluhusu kwa kila biashara hizo apo kwa hapa nilipo
Naombeni ushauri kuhusu biashara hizi mbili ipi itanipa faida na inayoendana na mabadiliko ya kifursa zinazobadilika kila siku.

Nb:kilichofanya nipate million 10 naendelea nacho usinambie niendeleze kilichofanya nipate huo mtaji.
 
Kafanye betting,ndani ya muda mfupi tu hizo 10 m zinakuwa 100M
 
Attachments

  • Screenshot_20250511-152619~2.jpg
    Screenshot_20250511-152619~2.jpg
    166.5 KB · Views: 86
Kama utasimimia full time kwenye hizo biashara nakushauri Fanya ya spare za pikipiki...

Tafuta eneo lenye uwazi kwa nje isiwe duka tu bali fungua kama sehemu ya kutengenezea pikipiki then tafuta mafundi wazuri waweke hapo ukipata ambao tayari wanajulikana Hilo eneo utakua umetisha sana.. ikibidi watangazie na bonus kadiri biashara yako itakavokua inaenda....

Hapo utakua na faida Moja kwa Moja maana boda watakua wanakuja kutengenezea pikipiki zao kwako na wananunua vifaa kwako....

Mwisho
 
asante mkuu ila ni changamoto sana nitatoa mrejesho
 
Biashara zote hizo zinalipa mbona shida ni juhudi zako na changamoto utakutana nazo, mimi nipo kwenye bajaji nataka pia kufungua spear zake na za pikipiki, kwenye spear uchawi ni bidhaa na fundi mzuri....location nzuri pia..mil.10 kwenye pikipiki mtaji wa maana yaani...mimi nagawa nusu kwa nusu tano piki na tano electronics au naweka pikipiki na bajaji kama upo dar mauzo ni mil kwa siku mtaa mzuri.

Ukiuza jumla baadhi ya bidhaa upo mbali.
Kuna dogo yupo buza huku anauza laki 3 mpaka 4 kwa siku duka la rejareja.
 
idea nzuri ,mimi pia nafikiria niweke hata mil 10-15 kwenye biashara ya spea ,lakini nataka nifanye jumla mkuu,pa kuanzia ndio nafikiria ,niwe winga wa spea kariakoo huku nia mtaji(siwezi afford fremu kariakoo) au nifungue gori mtaani alafu niwe natuma mkoani .pia nafikiria ikiwezekana ni deal na oil za magari lubricant tu.
unaweza tia neno kwa uzoefu wako?

ushauri wazoefu
 
Jumla sina uzoefu napo chifu maana jumla ni kariakoo zaidi.....mtaani uwe na jina tena uwe main road.
Lube shop sina uzoefu nazo pia
 
Back
Top Bottom