Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Indeed you've produced a very superb piece of advice,,, let me reserve it in the nearest bank I will withdraw it when I turn 35 yrsAngalia maisha yako.
Sio kila mwanamke unaempenda umtokee,wengine unawapenda potezea utawasahau,itakuepusha na gharama zisizo na msingi.
Hakikisha una shughuli ya kujiajiri hata kama umeajiriwa.
Hakikisha unakuwa mtu asiyeongea pumba ukiwa na watu haijalishi umri wao.
Hakikisha unaweza kucontrol nyege zako kwa namna yeyote ile mradi usijivunjie heshima
Umeongea madini Sana mkuuAfya..Dunia imebadilika kisukari kinaongoza kuua Sana hasa vijana .kula heathier na Jenga tabia ya mazoezi Mara kwa Mara.
Uchumi. Jiepushe Sana kuishi maisha ya mikopo ,kopa inapobidi na usicopy life style za watu. Save na wekeza.
Nzuri hiiAngalia maisha yako.
Sio kila mwanamke unaempenda umtokee,wengine unawapenda potezea utawasahau,itakuepusha na gharama zisizo na msingi.
Hakikisha una shughuli ya kujiajiri hata kama umeajiriwa.
Hakikisha unakuwa mtu asiyeongea pumba ukiwa na watu haijalishi umri wao.
Hakikisha unaweza kucontrol nyege zako kwa namna yeyote ile mradi usijivunjie heshima
Amen!Muhubiri 11:7-9
Nenda ukale chakula chako kwa furaha, ukanywe na divai yako kwa moyo mchangamfu, maana Mungu amekwisha ikubali kazi yako. Vaa vizuri, jipake mafuta kichwani. Furahia maisha pamoja na mke wako umpendaye muda wote wa maisha yako ya bure ambayo Mungu amekujalia hapa duniani; maana hilo ndilo ulilopangiwa maishani, katika kazi zako hapa duniani.