Ushauri kwa mwanaume wa miaka 35

Ushauri kwa mwanaume wa miaka 35

Wakuu, Tuendelee na Ushauri kwa mtu wa miaka 35 male
 
Angalia maisha yako.

Sio kila mwanamke unaempenda umtokee,wengine unawapenda potezea utawasahau,itakuepusha na gharama zisizo na msingi.

Hakikisha una shughuli ya kujiajiri hata kama umeajiriwa.

Hakikisha unakuwa mtu asiyeongea pumba ukiwa na watu haijalishi umri wao.

Hakikisha unaweza kucontrol nyege zako kwa namna yeyote ile mradi usijivunjie heshima
Indeed you've produced a very superb piece of advice,,, let me reserve it in the nearest bank I will withdraw it when I turn 35 yrs
 
Afya..Dunia imebadilika kisukari kinaongoza kuua Sana hasa vijana .kula heathier na Jenga tabia ya mazoezi Mara kwa Mara.
Uchumi. Jiepushe Sana kuishi maisha ya mikopo ,kopa inapobidi na usicopy life style za watu. Save na wekeza.
Umeongea madini Sana mkuu
 
Usiwe king'ang'anizi ajili ya mkeo huyo!!! ....ukiona hakuelewi muache aende anakoona pana faa! km umesoma!! cncetrate na kazi yako ikibidi kapige drs tena uongeze!!

ukijilegeza mno!! mkeo huyo atakuletea ukimwi! maksudi tu ili ukome kuringa! lkn kabla hakikisha amekuzalia vitoto saba!! vya kike vikiwemo pia! na kuzaa wa kike ni rahisi tu siku hizi!
 
Angalia maisha yako.

Sio kila mwanamke unaempenda umtokee,wengine unawapenda potezea utawasahau,itakuepusha na gharama zisizo na msingi.

Hakikisha una shughuli ya kujiajiri hata kama umeajiriwa.

Hakikisha unakuwa mtu asiyeongea pumba ukiwa na watu haijalishi umri wao.

Hakikisha unaweza kucontrol nyege zako kwa namna yeyote ile mradi usijivunjie heshima
Nzuri hii
 
Muhubiri 11:7-9
Nenda ukale chakula chako kwa furaha, ukanywe na divai yako kwa moyo mchangamfu, maana Mungu amekwisha ikubali kazi yako. Vaa vizuri, jipake mafuta kichwani. Furahia maisha pamoja na mke wako umpendaye muda wote wa maisha yako ya bure ambayo Mungu amekujalia hapa duniani; maana hilo ndilo ulilopangiwa maishani, katika kazi zako hapa duniani.
Amen!
 
Kwa umri huo hakikisha unafanya haya
1. Jitahidi uwe na chanzo cha riziki hata kama ni kidogo
2. Hakikisha umepata mwenza wa maisha
3. Hakikisha kabla kuongea jambo lolote lazima umfikirie vizuri bora kukaa kimya kuliko kuongea.
4. Tafuta marafiki sahihi
5.jali afya
 
Wahakikishe pesa ipoo na washaweka misingi ya pesaaa!!Kuongiza kipato!
 
Back
Top Bottom