Ushauri kwa Mwita Waitara na wengine mtaoenguliwa kwa majungu na CCM 2025, andaeni mkakati wa kuhamia Umoja Party na mtarudi bungeni

Umoja Party haipati usajili. Jiungeni katika chama cha msukuma mwenzenu, baba yenu Cheyo...UDP. wasukuma hamjui kucalculate kabisa. chama mnacho tayari kisha mnataka kuunda kingine.
Acha ushoga kushabikia ukabila
 
Wewe una matatizo gani??
Mbona unahangaika sana?
 
Hao unaowashauri hawana ushawishi wowote, hao walibebwa na chama, baadae wakabebwa na magufuli,.. Hawana ushawishi wowote, na hawana sera wala mvuto wa Kisiasa
 
Unadhani Waitara ni mjinga wa hivyo, unadhani hajui ugumu wa kushinda kupitia vyama vya matumaini? Alishinda kihalali akiwa cdm kutokana na nguvu ya cdm. Akarudishwa bungeni kihuni na Magufuli baada ya kuisaliti cdm. 2020 akazawadiwa tena ubunge kwenye ule uchaguzi wa kihayawani. Anajua fika nje ya cdm anapoweza kushinda kihalali, na ccm kwenye mbeleko ya vyombo vya dola hawezi kutoboa popote.
Usilinganishe Umoja party na Chadema. Umoja party ni juu ya moyo wa kizalendo kutetea maslahi ya taifa.
 
Adi sasa wabunge wa kununuliwa hawaelewi hatima yao. Nafikiri ata utaratibu alioweka magufuli majina kuamuliwa na kamati kuu baada ya kura za maoni jimboni kupigwa utatupiliwa mbali.

Wajumbe tunapewa nguvu tena. Tukutane muheza tanga
Daaah! Kwahiyo Adad Rajabu anarudi mjengoni?
 
Adi sasa wabunge wa kununuliwa hawaelewi hatima yao. Nafikiri ata utaratibu alioweka magufuli majina kuamuliwa na kamati kuu baada ya kura za maoni jimboni kupigwa utatupiliwa mbali.

Wajumbe tunapewa nguvu tena. Tukutane muheza tanga
Mbunge wa 'mheza' anaitwa nani? 🤗🤗🤗
 
Lini wajumbe walikosa nguvu?

Dr Mwakyembe alifanyiwa nini na hao wajumbe pamoja na degrees zake zote [emoji848]
Ila nilimpenda Mwakyembe. Alikufa kiume. Katika orodha ya wanaume nchi hii kwenye top three, Mwakyembe hakosi.
Aliwachana wajumbe wa Kyela live kuwa yeye alikuja kuomba ubunge akiwa ameshiba... Kwa hiyo wasimbabaishe...
 
Chama kipya huanza na sera ambazo zitawafanya kuamini misingi ya chama husika . Nadi sera kwa nguvu uvune wanachama kilaini, kama utaanza kwa majungu basijuwa hata wanachama utakao wapata ni wamajungu tu. Ikiwa unawasubiri watakao dondoka ccm wewe ukawapa nafasi basi umefeli. Umojapaty tunataka sera siyo maneno na kejeli.
 
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.

Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Mwache mwenzako alambe asali
 
Hujui lolote wewe.
 
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.

Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Kamwe usiwashauri wachumia tumbo
 
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.

Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Masikini unawapoteza mazima 😂😂😂 na wapotee kbs kundi la bwana yule!!
 
Back
Top Bottom