Ushauri kwa Mwita Waitara na wengine mtaoenguliwa kwa majungu na CCM 2025, andaeni mkakati wa kuhamia Umoja Party na mtarudi bungeni

Ushauri kwa Mwita Waitara na wengine mtaoenguliwa kwa majungu na CCM 2025, andaeni mkakati wa kuhamia Umoja Party na mtarudi bungeni

Tunahitaji chama kingine, kipya kusimamia maslahi ya Watanzania. Kwa sasa wahuni wamechukua serikali.
 
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.

Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
  1. Ulimpa Sitta ushauri wa hivi-kila mtu najua kilichotokea
  2. ukampa Membe ushauri kama huu- kila mtu anajua kilichotokea
  3. unatoa ushauri huu tena- wapo watakao kusikiliza ila matokeo yake unayajua

Sina hakika kama kushauri nayo ni haki ya binadamu kama kutoa maoni- ila endelea oksjeni ni ya bure
 
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.

Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Never on Earth! Hayo Ni majimbo ya Chadema Kama Kuna uhuru wa kuchagua
 
Back
Top Bottom