ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Tunahitaji chama kingine, kipya kusimamia maslahi ya Watanzania. Kwa sasa wahuni wamechukua serikali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.
Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
Never on Earth! Hayo Ni majimbo ya Chadema Kama Kuna uhuru wa kuchaguaMuanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno.
Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
hakikaTunahitaji chama kingine, kipya kusimamia maslahi ya Watanzania. Kwa sasa wahuni wamechukua serikali.
balaa juu ya balaaCheyo hatawakubalia maana naye yupo kwenye coaliation na CCM .